matusi ni ya kina sugu, msigwa na lema na wenje
Mwafaa mwaka huu.
Mwanangu, umalaya ni biashara ya zamani sana, ilikuwapo hapa duniani hata kabla Yesu mtoto wa Mariam hajazaliwa! cha ajabu haikuwahi kumpa heshima mfanyabiashara hiyo!Mkurupukaji huyu anafaa kusamehewa.Alikuwa anaota ndoto za mchana.
Za hawa waheshimiwa ni FIGURATIVE LANGUAGE. Tatizo waheshimiwa wenu wengi ni wa MMEMKWA hawakawii kupagawa. Hawana hata muda wa kutafakari neno zaidi ya kukurupuka na hatimaye kupandwa na jazba na kutoa matusi.
Eti kusema F**** Y*** anaona ndio usomi wenyewe kumbe kaonyesha upunguani wake mbele ya jamii.
huwa natatizwa sana na thinking capacity za viongozi wetuJuzi alitukana wagonjwa wa kifafa.It was a reckless statement kutoka kwa msemaji wa chama tawala kunyanyapaa wagonjwa wa kifafa.
Mwanangu, umalaya ni biashara ya zamani sana, ilikuwapo hapa duniani hata kabla Yesu mtoto wa Mariam hajazaliwa! cha ajabu haikuwahi kumpa heshima mfanyabiashara hiyo!
pole sana dada, mbona unatoa utomvu bila kugemwa?narudia tena, umalaya ni biashara ya kale sana lakini haijawahi mpatia heshima anayeifanya! kama wewe ni mmoja wao acha mara moja maana utaishia kufedheheka tu!hayo maneno ungemwambia mwenyekiti wako ambaye ametia aibu kwa kuwabebesha mimba wabunge wa viti maalum, mimba zisizotarajiwa na sasa wabunge hao wenye mimba za rejareja wanaogopa kuhudhuria vikao vya bunge.
Ha ha.we mhudumu nipatie kinana bariidi.ndovu bariidi
Magwanda matumbo joto kweli
pole sana dada, mbona unatoa utomvu bila kugemwa?narudia tena, umalaya ni biashara ya kale sana lakini haijawahi mpatia heshima anayeifanya! kama wewe ni mmoja wao acha mara moja maana utaishia kufedheheka tu!
Labda hukijui kiswahili bi mdogo! umalaya ni biashara ya mtoto wa kike kama wewe kuuza mwili wake. Sasa huyo mwenyekiti wenu naye ni mtoto wa kike kama wewe? kama ni mtoto wa kike anawezaje kuwapa mimba wanawake wenzake? Nakushauri tena acha biashara ya umalaya, yaani kujiuuza mwili, umalaya unakudharirisha mwanangu. Tumia elimu yako kwa manufaa! au ndio nyie muliopata shahada kama vyeti na sio taaluma?mama, ndio mana nikakwambia hata mwenyekiti wetu haitamfikisha peponi hiyo biashara mana wabunge wetu w viti maalum saivi wanalia na mimba zisizotarajiwa
Lori zote za kubeba mahindi pale kibaigwa,zinaelekea igunga zikiwa zimesheheni watu wa kijani na njano.
Alikurupuka huyu anafaa kusamehewa ndo madhara yakuota ndoto za mchana.
Uuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti?
Magwanda matumbo joto kweli