utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 May 12, 2013 #41 Heading haiendani na kilichomo ndani...umeandika kichina china mno.
S Selungo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,271 Reaction score 403 May 12, 2013 #42 Juliana Shonza said: Magwanda matumbo joto kweli Click to expand... Uuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti?
Juliana Shonza said: Magwanda matumbo joto kweli Click to expand... Uuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti?
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,689 Reaction score 3,442 May 12, 2013 #43 kibwete said: Shonza naomba nikutaarifu kuwa humu jf kunawatu wako milembe day kwa hiyo ukijibizana nao jua hilo siyo wazima hata kidogo mmojawapo ben saa nane. Click to expand... hivi wewe unaweza kumjua saa nane kumzidi shonza kweli!
kibwete said: Shonza naomba nikutaarifu kuwa humu jf kunawatu wako milembe day kwa hiyo ukijibizana nao jua hilo siyo wazima hata kidogo mmojawapo ben saa nane. Click to expand... hivi wewe unaweza kumjua saa nane kumzidi shonza kweli!
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 May 12, 2013 #44 Vijana mmezoea kutembea na sumu na kufanya ugaidi mkiona watu wanafanya mambo kistaarabu mnatokwa povu
Vijana mmezoea kutembea na sumu na kufanya ugaidi mkiona watu wanafanya mambo kistaarabu mnatokwa povu
D Dr Ntinkutina. JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 309 Reaction score 55 May 12, 2013 #45 kinduro bompwa said: Heading haiendani na kilichomo ndani...umeandika kichina china mno. Click to expand... Usimlaumu uwezo wake wa akili umeishia hapo.
kinduro bompwa said: Heading haiendani na kilichomo ndani...umeandika kichina china mno. Click to expand... Usimlaumu uwezo wake wa akili umeishia hapo.
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 May 12, 2013 #46 tedo said: Kichwa cha habari kingekuwa hivi; NAPE KUROPOKA IGUNGA LEO Click to expand... wehu wa aina yako wanajibiwa na kura
tedo said: Kichwa cha habari kingekuwa hivi; NAPE KUROPOKA IGUNGA LEO Click to expand... wehu wa aina yako wanajibiwa na kura
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 May 12, 2013 #47 BOSCONTAGANDA said: npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/. Click to expand... Hahaha hahaha raha sanaaaa....Nape hebu nipatie "kinana lager" bariiiidi kabisa...
BOSCONTAGANDA said: npe namba yake ya cm kuna fuso zangu zimefuata mchele pale sasa mzigop haujajaa nataka anipe dili la kubeba raia kutoka nzega ili madereva wasikae bure/. Click to expand... Hahaha hahaha raha sanaaaa....Nape hebu nipatie "kinana lager" bariiiidi kabisa...
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 May 12, 2013 #48 ngalelefijo said: Ha ha.we mhudumu nipatie kinana bariidi.ndovu bariidi Click to expand... Hahaha ongeza kinana lager 2 tafadhali kwenye oda yako nina kiu sana.
ngalelefijo said: Ha ha.we mhudumu nipatie kinana bariidi.ndovu bariidi Click to expand... Hahaha ongeza kinana lager 2 tafadhali kwenye oda yako nina kiu sana.
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 May 12, 2013 #49 Selungo said: Uuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti? Click to expand... Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwa
Selungo said: Uuuuuuwiiiiiiiiii..............! Nimeona maandishi ya mtu ALIYEBINAFSISHA AKILI! Dada mbona ile speed imepungua, Ushakuwa OIL CHAFU, eti? Click to expand... Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwa
T thatha JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 15,340 Reaction score 1,571 May 12, 2013 #50 Prince Tumbo said: Leta habari kamili, kiu yangu haijaisha pale uliposema "wamezoomewa" then ukauchuna bila kusema ilikuwaje....funguka sasa.. Click to expand... Kwa uelew wako unafikiri ulichokiandika kunamtu atakuamini?,labda awe mwehu kama wewe,uko milembe day wewe.
Prince Tumbo said: Leta habari kamili, kiu yangu haijaisha pale uliposema "wamezoomewa" then ukauchuna bila kusema ilikuwaje....funguka sasa.. Click to expand... Kwa uelew wako unafikiri ulichokiandika kunamtu atakuamini?,labda awe mwehu kama wewe,uko milembe day wewe.
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 May 12, 2013 #51 yaahamad said: Mleta mada angeandika hivi nape kulia igunga leo. Kwani wanao ungurumaa ni kama akina dk.w.slaa na akina lema Click to expand... slaa anajichotea tu ruzuku ya chama...lema mropokaji
yaahamad said: Mleta mada angeandika hivi nape kulia igunga leo. Kwani wanao ungurumaa ni kama akina dk.w.slaa na akina lema Click to expand... slaa anajichotea tu ruzuku ya chama...lema mropokaji
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 May 12, 2013 #52 KirilOriginal said: Kama ada tunategemea double standards atatukana matusi yote na hakuna cha TISS wala cha maadili! Akisema wa ccm amesema akisema mpinzani ameropoka. Click to expand... Nasubiri humu kuskia matusi yake kwa CHADEMA, maana ndo kitu pekee wanaweza fanya...
KirilOriginal said: Kama ada tunategemea double standards atatukana matusi yote na hakuna cha TISS wala cha maadili! Akisema wa ccm amesema akisema mpinzani ameropoka. Click to expand... Nasubiri humu kuskia matusi yake kwa CHADEMA, maana ndo kitu pekee wanaweza fanya...
T thatha JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 15,340 Reaction score 1,571 May 12, 2013 #53 Jagarld said: hivi wewe unaweza kumjua saa nane kumzidi shonza kweli! Click to expand... Mkuu hiyo siyo kazi yangu mimi nimefikisha ujumbe basi mengine naachia wadau.
Jagarld said: hivi wewe unaweza kumjua saa nane kumzidi shonza kweli! Click to expand... Mkuu hiyo siyo kazi yangu mimi nimefikisha ujumbe basi mengine naachia wadau.
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 May 12, 2013 #54 Ccm chama kubwa, ukiichukia unajitafutia presha bure
T thatha JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 15,340 Reaction score 1,571 May 12, 2013 #55 lupe said: Hahaha hahaha raha sanaaaa....Nape hebu nipatie "kinana lager" bariiiidi kabisa... Click to expand... Mkuu ulishatoka milembe kumbe karibu jf kwa sasa utakuwa milembe day siyo.
lupe said: Hahaha hahaha raha sanaaaa....Nape hebu nipatie "kinana lager" bariiiidi kabisa... Click to expand... Mkuu ulishatoka milembe kumbe karibu jf kwa sasa utakuwa milembe day siyo.
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 May 12, 2013 #56 lupe said: Hahaha ongeza kinana lager 2 tafadhali kwenye oda yako nina kiu sana. Click to expand... una sumu hapo mfukoni?
lupe said: Hahaha ongeza kinana lager 2 tafadhali kwenye oda yako nina kiu sana. Click to expand... una sumu hapo mfukoni?
T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 May 12, 2013 #57 Baba V said: Nasubiri humu kuskia matusi yake kwa CHADEMA, maana ndo kitu pekee wanaweza fanya... Click to expand... matusi ni ya kina sugu, msigwa na lema na wenje
Baba V said: Nasubiri humu kuskia matusi yake kwa CHADEMA, maana ndo kitu pekee wanaweza fanya... Click to expand... matusi ni ya kina sugu, msigwa na lema na wenje
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 May 12, 2013 #58 Ben Saanane said: Juzi alitukana wagonjwa wa kifafa.It was a reckless statement kutoka kwa msemaji wa chama tawala kunyanyapaa wagonjwa wa kifafa. Click to expand... Virus and poison detected!!!!!!!!!!!!
Ben Saanane said: Juzi alitukana wagonjwa wa kifafa.It was a reckless statement kutoka kwa msemaji wa chama tawala kunyanyapaa wagonjwa wa kifafa. Click to expand... Virus and poison detected!!!!!!!!!!!!
S Selungo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,271 Reaction score 403 May 12, 2013 #59 kinduro bompwa said: Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwa Click to expand... Kiongozi! Hata MAGAMBA msha shituka. Mmeshaona ana GUNDU, eti? Yaani pamoja na kubwabwanya kote kule Moro lakini ngoma ya uchaguzi wa vitongoji PWAAA!
kinduro bompwa said: Tulia wewe dawa iingie vizuri...shonza ni dozi kubwa Click to expand... Kiongozi! Hata MAGAMBA msha shituka. Mmeshaona ana GUNDU, eti? Yaani pamoja na kubwabwanya kote kule Moro lakini ngoma ya uchaguzi wa vitongoji PWAAA!
S Selungo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,271 Reaction score 403 May 12, 2013 #60 kinduro bompwa said: Virus and poison detected!!!!!!!!!!!! Click to expand... Mwafaa mwaka huu.