Nape kuburuzwa mahakamani Arusha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kuburuzwa mahakamani Arusha!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Triple A, Oct 29, 2011.

 1. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Jaji mkuu wa kanda ya kaskazini amedai kuwa nape anastahili kupelekwa mahakamani kwa kile alichosema kuwa ccm itashinda kesi dhidi ya mbunge wa arusha lema,hii inapelekea kuonyesha kuwa ccm inauhusiano na mahakama ndio maana itashinda kesi hiyo kwahiyo ni makosa kuizungumzia kesi iliyopo mahakamani,alisema huyo jaji!! Chanzo radio kili fm ya moshi.
   
Loading...