Nape kiwatoa mashetani wanachama wa Ccm

Mama analia maana amedhulumiwa buku 1 aliyoahidiwa akifika mkutanoni atapewa. Anamlalamikia Nape kuwa wenzie wamemnyima mgawo
 
Duu! Aisee... Mzee wa Upako.
 
Hakuna cha zaidi ya kuwaonea huruma wamama zetu wa kijiji maskini wanatumika kama mtaji wa sisiemu...lol BUT thts no longer at easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…