Nape: Kinachoendelea ni mateso kwa wakulima wa korosho, hakiwezi kumaliza tatizo

Kinachotafutwa wala sio wapi kalima ni nani wewe ama mlanguzi ndo upewe bei ya malaika mkuu?!!!

Nafikiri hiyo sio namna bora ya kufanya biashara na wananchi
 
Mkulima halazimishwi kuuza kangomba isipokuwa shida za akipeleka chama cha ushirika anapewa karatasi badala ya pesa ungekuwa wewe ungefanyaje wakati unashida ya pesa lakini una mazao ndani ambayo mtu wa kangomba atakupa cash. Je utakaa na shida zako mpaka msimu wa malipo. Soma vizuri alichosema nape ni kuwa badala ya kutoa karatasi.watoe pesa kwa wakulima wanapopeleka mazao yao. Kwa mtindo huo kangomba itakufa kifo cha asili lakini siyo kwa kutumia jeshi! Soma na kutafakari mkuu usijibu kishabiki sisi tulio field ndiyo tunafeel maumivu!
Mkuu umenena vyema kabisa, nilifanya kazi na wakulima korosho miaka kumi iliyopita hapo Lindi na hiyo ndiyo hali halisi
 
Pm kasema korosho zote zitanunuliwa full stop.

Jiwe kasema kama una korosho huna shamba hautolipwa, waziri wa kilimo naye kasema mwenye korosho na huna shamba ujiandae kisaikolojia! Maana yake ushetani ndo ushaingia kwenye familia,
Na pia mwenye shamba naye aonyeshe hati ya shamba!
 
Mwonee huruma anajuta sasa hivi
Nape kama kuna dhambi alishiriki katika yanayoendelea nchini angetumia muda mwingi kutubu kwa Mungu ili apate neema ya utakaso zaidi ya hapo aombe Mungu ampe ustahimilivu wa after effect ushiriki wake
 
Kwani Chadema ni mabeberu?!
Ndio! Hata mimi ni Beberu.
images-1.jpeg
 
Back
Top Bottom