Huyo ni walewale tu waliokunywa uji wa mgonjwa wakamuacha akafa na njaa. hana jipya
huyo ataeleza nini??......ana kipi kipya?
Chadema kupitia kwa Slaa wamekua wakijipendekeza kwenye mgomo wa Madaktari ili wajue madai yao lakini Chama cha madaktari-MAT wamesema hawataki siasa au chama cha siasa kwenye mgomo wao,Nape hawezi toa tamko kwani anajua ni jambo la Wanataaluma na Serikali! Nyie magwanda mlisha kurupuka kujitafutia umaarufu lakini MAT ikawapiga stop! Hamuelewi maana ya "Trade Unionism" nyie kila jambo ni siasa tu! Shame on you na magwanda yenuMgomo wa madaktari unaondelea hasa jiji dar umesababisha madhara haswa kwa wale ambao wanaumwa.Kutokana na huu mgomo mkurugenzi wa uenezi wa cdm ametoa msimamo wa chama chao,tunakuomba nawe utoe tamko la chama chetu cha ccm ili kueleza umma hali halisi
Anakosa sapota nape ni mpambanaji
Chadema kupitia kwa Slaa wamekua wakijipendekeza kwenye mgomo wa Madaktari ili wajue madai yao lakini Chama cha madaktari-MAT wamesema hawataki siasa au chama cha siasa kwenye mgomo wao,Nape hawezi toa tamko kwani anajua ni jambo la Wanataaluma na Serikali! Nyie magwanda mlisha kurupuka kujitafutia umaarufu lakini MAT ikawapiga stop! Hamuelewi maana ya "Trade Unionism" nyie kila jambo ni siasa tu! Shame on you na magwanda yenu
unayo degedege, unaweweseka nahisi we ni msukule kama co msukule unaumwa ugonjwa wa sura ya nape we karolite imekuchubua hadi ubongo