simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 484
Ndugu wanabody;
Ikiwa ni jumapili murua kwangu ambayo nachukua mda wangu kusoma kitabu takatifu na kutafakari mambo mengi katika taifa langu.
Je kama ni kweli Mhe. Paul Makonda amethibitika kwenda clouz FM majira ya saa nne usiku akiwa na makomandoo walio na silaha za kivitaa na wengine wakiwa ni maafisa wa jeshi la polisi kwenda kumshinikizaa Soudy Brown atangaze na kurekodi kitu ambacho ni suala lake binafsi bila kufuata maadili na taaluma ya utangazaji ya kuwasikia pande zote.
Kwanza Idara zote za usalama zimechafuliwa kwa namna mmoja au nyingine pili tasnia ya habari imegeuzwa kuwa uwanja wa umbea na genge la vibaka na watu wahuni wahuni kufanya matukio yao watakavyo kwa mda wao na kwa hili nataka nimsikie kaka angu waziri Mwenye dhamana anaongea nini!!
Mimi ni CCM kindaki ndaki na ambaye yupo bega kwa bega na utawala wa awamu ya tano ila Mimi ni mkereketwa wa haki na demokrasia. Siwezi kuunga mkono jambo ambalo ata shetani anaona ni dhambi. Kile kilichofanyika saa NNE usiku cloud FM ni ujambazi haupaswi kuungwa mkono na Mwenye akili timamu.
Rai yangu kwa JPM: Naomba utumie mda wako ata nusuu saa tyuu kuchunguza na Ku evaluate kilichotokea Jana cloudz bila kushurutishwa na mtu yeyote ikithibitika ni kweli basi hatua staili zichukuliwe kwa wote waliousika ni hayo tuuh.
Mwanaharakati wa kweli toka lumumba.
0715829833.