Nape..January...Mwigulu..mnasikiliza kikao?

Nape..January...Mwigulu..mnasikiliza kikao?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,988
Reaction score
100,189
hapo ni kwenye kikao cha ccm huko zanzibar
 

Attachments

  • nape.january,mwigulu.jpg
    nape.january,mwigulu.jpg
    130.9 KB · Views: 488
hapo hamna kitu mwishoni wanasema maamuzi yamepitishwa, watu wenyewe masharobaro wote unadhani kuna kitu hapo?
 
Huyo wa katikakati anasikilza, ila hao wengine wako busy na Uso Kitabu.
 
Huyo wa katikakati anasikilza, ila hao wengine wako busy na Uso Kitabu.​
Hao usikute ndio wanatoa nje wanayoyajadili kikaoni..wanatupia tu thread huku JF....ni wangu tu mtazamo...jamani
 
wote hao wanachat na warembo mawazo hayako kwenye kikao kabisa
Na baada kikao ukiwauliza walichoongelea huko ndani hawatajua
 
Watakuwa wanasave miniti za kikao kwenye ipads na blackberries
 
Mwishoni watasema tunaunga hoja mkono mia kwa mia
 
rangi ya kijani inanichefua sana.. BTW Huyo mwigulu kesi yake ya kubaka kule Igunga iliishaje?
 
Ok! usidhani ya kuwa wanasikiliza na wako kwenye kikao kiundani. Hiyo ni danganya toto. Ebu jiulize hivi hizi ghalama za maisha zinavyopanda dairy huko kwenye vikao haziongelewi kama kweli wanasikiliza? Take care mjamaa nchi imeuzwa.
 
Naona kenge na wenzio mnafanya kazi ya kujiuliza na kujijibu wenyewe.
OTIS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom