Nape iga mfano wa Salim Mwaimu

Nape iga mfano wa Salim Mwaimu

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Nape hebu jaribu kurekebisha mdomo wako na kauri zako zifanane kama za Salum Mwaimu wa UKAWA, usipobadilika utafukuza makada wote.
 
We umeona hilo ni jukwaa sahihi kuweka hii thread?
 
Nape hebu jaribu kurekebisha mdomo wako na kauri zako zifanane kama za Salum Mwaimu wa UKAWA, usipobadilika utafuza makada wote.

Unakimbilia wapi? Ndiyo nyie mnaofanya watu wakidharau chama cha chadema na ukawa yote kiujumla kwa kupenda kukurupuka. Angalia mapungufu yako " Nape uga mfano wa Salim Mwaimu ". Neno uga ni msamiati mpya au? Na huyu Salim Mwaimu ni yupi? Mimi namfahamu Salum Mwalimu. Acheni kukurupuka!
 
Kweli ukawa imekushika pabaya

Mpaka umeleta Uzi kwenye jukwaa hili
 
Unakimbilia wapi? Ndiyo nyie mnaofanya watu wakidharau chama cha chadema na ukawa yote kiujumla kwa kupenda kukurupuka. Angalia mapungufu yako " Nape uga mfano wa Salim Mwaimu ". Neno uga ni msamiati mpya au? Na huyu Salim Mwaimu ni yupi? Mimi namfahamu Salum Mwalimu. Acheni kukurupuka!

We nae acha kelele kwani haujaelewa?
 
We nae acha kelele kwani haujaelewa?

Kwa akili na ufahamu wangu sikumwelewa ila yawezekana wewe kwa udhaifu wako wa upeo na maarifa ulimwelewa. Watu wavivu wa kufikiri huelewana mapema sana.
 
Acheni kumshambulia mleta uzi magamba sugu nyie. Nini ambacho hamjakielewa!!!? Mantiki ya topic iko wazi, sasa hasira zenu kwa mleta uzi zinatoka wapi? Yaangalie yalivyo jaa povu midomoni kwa hasira!!! Kwani hamkujua nguvu za lowasa!!!! Muulizeni mkwere atawaambia. Viva ukawa, viva lowasa!!!
 
Yaacheni mapoliccm sasa hivi yanatoa mapovu mdomoni kama yamebugia foma. Yana hasira sana kwa sasa. Ni sawa na baba akigombana na mama hasira anamalizia kwa watoto
 
Unakimbilia wapi? Ndiyo nyie mnaofanya watu wakidharau chama cha chadema na ukawa yote kiujumla kwa kupenda kukurupuka. Angalia mapungufu yako " Nape uga mfano wa Salim Mwaimu ". Neno uga ni msamiati mpya au? Na huyu Salim Mwaimu ni yupi? Mimi namfahamu Salum Mwalimu. Acheni kukurupuka!
Una stress wewe???Hapo umesoma kasha tuu la movie sasa ungeona na trailer si ungetukana hahaha?dadadadeki yaani tunashika kila kona mwaka huu hii sio 1995 Mrema hii ni 2015 na watu tumejiandikisha na records ni zaidi ya 24 million TZ TUMEJIANDIKISHA so ile nyomi ya jana 90% wanavikadi vya kura.
 
Back
Top Bottom