CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Mnafahamu sasa hivi hawa wote walio katika cabinet ya JPM hawajiamini. Wana-panic na hawana uhakika kama JPM atatafisiri maneno yao kwa uhasi au uchanya na hivyo kuishia kutumbua (anapenda sana utumbuaji)- hivyo wako tayari kujitoa fahamu na kukana hata maneno au matamko ya HEKIMA waliyowahi kuyatoa kabla ya awamu ya visasi, kukurupuka na kuendesha serikali kwa hisia za mtu binafsi. Haya maneno yake anayosigana nayo ni ya hekima na busara na yanweza kutumika kufafanua hali yo yote ikiwa ni pamoja na ukurupukaji na ubabe anaofanya D.a.u.di B.a.s.hite na wote wanaomuunga mkono.Yeye ndio mnafiki
Sisi tuna apply tu hekima alizo zitoa yeye kwa situation iliyo kuwepo.
Ni sawa na kutumia misemo aliyo sema nyerere mwaka 1970. Kwa tukio la leo 2017
Pole ya nini?Pole mkuu
Mnaanza kugeukana,si mlimuita Nape shujaaYeye ndio mnafiki
Sisi tuna apply tu hekima alizo zitoa yeye kwa situation iliyo kuwepo.
Ni sawa na kutumia misemo aliyo sema nyerere mwaka 1970. Kwa tukio la leo 2017
Teh teh teh teh teh.... WanakimbianaMnaanza kugeukana,si mlimuita Nape shujaa
Kwani nape naye ni adui wa ccm tayari?Mnaanza kugeukana,si mlimuita Nape shujaa
Sio ila kauli zake watu wanazitafsiri vibaya.Kwani nape naye ni adui wa ccm tayari?
Mtu yoyote anaejaribu kuviza vita ya nchi kuhusu dawa za kulevya si mwenzetu.Kwani nape naye ni adui wa ccm tayari?
Sija mgeuka mkuuMnaanza kugeukana,si mlimuita Nape shujaa