Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kufuatia kampeini zilizofanywa na mgombea urais kupitia cdm/ukawa jimboni mtama wananchi wa jimbo la mtama wameamua kwa wingi wao kujiunga vyama vinavyounda ukawa na kumuacha nape akihutubia viongozi wa ccm tu kila mkutano na wana mtama wameahidi kumchagua mgombea wa ukawa kwa kura za kimbunga.