Nape hilo sahau 2015

Nape hilo sahau 2015

HIMO

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
76
Reaction score
25
Ndugu wanabodi jf
Napenda kuwataarifu kuwa huyu kiumbe anayeitwa nape hivi majuzi akiwa hapo lumumba alikuwa na kachero wetu mmoja alieleza tena kwa kujiamini haya yafuatayo,
kwa kuwa ccm ni chama dola kitaendelea kushinda hata kwa kubadilisha matokeo ya uchaguzi kama walivyofanya dar majimbo ya ukonga na kigambono na sehemu nyingine za nchi,
pia kwa kuwa wamefanikiwa kuwafanya watanzania wengi wasiweze kujitegemea wataendelea kutumia pesa kuwarubuni wapiga kura ambao huwa ni watu wa hali ya chini kimaisha.
akaendelea kujisifu kwa kusema chama kama chadema kilishinda viti vingi mwaka 2010 lakini walitumia polisi na wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri kubadilisha matokeo.
jingine ambalo kachero wetu alitushtua ni kuwa hata katiba ambayo ndiyo watu walikuwa wanatoa maoni eti ipo siku nyingi na kinachofanyika ni kiini macho.alipoulizwa kuhusu misimamo ya wajumbe wanaounda tume hasa prof baregu na jaji warioba akajibu eti wao ni dola.
nape akaendelea kujinasibu na kusema kuwa watarudisha majimbo yote waliopoteza kwa kutumia mbinu za kimafia.
sasa huyu nepi anaweza kusababisha balaa kubwa kwani huo mwaka hakuna jiwe ambalo litaachwa bila kugeuzwa na hakuna atakayepita bila kupingwa.
nawasilisha.
 
nape anaongea kwa kujiamini akijua kuwa kuna kura watu wanaziuza kwa wali ,andazi,kanga na hela kiasi huku wakisahau kura ilivyonaumuhimu wauzaji wakifurahi sana na wewe mleta uzi kama unatabia hiyo nape atazidi kutamba milele na milele
 
Huyo ndie nepi asiyemjua babae,uzalendo kwake sifuri,kwa hizi kauli zake hebu tumchunguze vizuri unaweza kuta ni mtu wa mtu(Cameroon style).
 
Ujinga kama huo upo kwa wasio na fikra hai kama huyo nepi kwanza ajithmini mana chama chake kimejaa uchafu ambao upo kwenye nepi yake,jukumu lake ni kusafisha tu kilichochafuka na sasa uchafu umemzid anabaki kuropoka namna ambavyo chama chake kinaharibu na kupora haki za watu.Kwa hali ilivyo 2015 tutapigana mpaka tone la mwisho.
 
chamsingi ni sisi tulio na uelewa tuwahamasishe wenzetu pia waamke vijana wengi mitaan ni washabiki wa vyama na sio wanachama halisi mtu unakuta hana kadi hana kitambulisho cha mpiga kura lakin kila utakapo mkuta atakuambia m4c changes gan zinakuja kwa maneno pekee chamsingi tunapo wa hamasisha kuwa na changes tuwaelekeze pia tutachange kivp SIO KUVAA GWANDA HUKU HUNA SILAHA utampiga vp adui nlikuta wazee fulani wa ccm wanaongea nkaona wana point m1 anasema hawa vijana wanapiga tu makelele lakini utakuta hana hata kadi ya chama anapiga debe tu nlipo wasikia nlijioni kama mtoto wa miaka 10 anaetaka kumpindua baba'ake
 
Back
Top Bottom