Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
 
Nape atumie akili,hivi yeye anaweza kuhusishwa kwenye michongo ya kina Lowasa na Rostam!!btw utoke wapi ujasiri wa kusema "Ndio tunawasaidia,kupitia makada wetu"
 
lakini humu jf tunaona IDs za CCM zinavyotetea na kuipaka mafuta ACT na Zitto na hata kusafisha maliwato yao!!

HAMY-D Mwana Diwani,Laki si pesa,Rutaahobolwa,assadsyria,Mingoi etc wote ni vibarak wa CCM na ACT!!
 
Last edited by a moderator:
...Ila tu mmewataka buku 7 wote mitandaoni wapige debe la nguvu kwa ACT WASALITI. Na pia kusitisha safari za Kinana ili kumpisha huyo mnayemtumia afanye kazi yenu ya kuimaliza CHADEMA ifikapo June, 2015.

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania
 
lakini humu jf tunaona IDs za CCM zinavyotetea na kuipaka mafuta ACT na Zitto na hata kusafisha maliwato yao!!

HAMY-D Mwana Diwani,Laki si pesa,Rutaahobolwa,assadsyria,Mingoi etc wote ni vibarak wa CCM na ACT!!

Kweli kabisa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo misaadaya kifedha wanajua wenyewe njia wanazo tumia kupeana. Ila misaada ya rasilimali watu ipo wazi kwani mikutano yote ya ACT inaandaliwa na makada wa CCM wote tumekua mashuhuda,lakini pia hata humu jukwaani tumeona namna jamaa zetu wa LB7 walivyo badili I'D zao na kupigia debe ACT.
 
Tuwekee mifano kamanda
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?

Nape angekuwa mtu wa ajabu kabisa kama angesima na kusema ni kweli CCM au makada wake wanatoa support kwa ACT. BIG UP NAPE
 
Comrade,

Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua.
Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media.
Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying.

Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigo hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha
Cheers,

Tuwekee mifano kamanda
 
  • Thanks
Reactions: 999
Tuwekee mifano kamanda

Ondoa hofu, mkutano wa Zitto uliofanyika Njombe uliandaliwa na makada wa CCM nikiwa shuhuda mimi ni mkazi wa Njombe mjini. LB7 usiku na mchana hapa jukwaani wanapambana kuitetea ACT, assadsyria, Rutashobolwa, mpk, Mingoi, FaizaFoxy na wengine wengi tu.
 
ccm kukanusa si ndo jadi yenu alafu inakuja kudhihirika ni kweli
 
mbona hakanushi habari zilizozagaa kuwa baba yake mzazi ni mwandosya na sio nnauye!!
 
SASA ULITAKA AKUBARI
Halafu akisema ndio tunaisaidia ACT unadhani italeta maana? wewe angalia matendo yao dhidi ya ACT utagundua tu wala usipate shida ya maneno yao, kwa sababu siku zote mnafiki hufanya tofauti na anachokisema.
 
nasubiri wale waliotajwa jana kwenye gazeti la mawio, wakanushe, huyo nape tumemzoea kukurupuka.
 
Ondoa hofu, mkutano wa Zitto uliofanyika Njombe uliandaliwa na makada wa CCM nikiwa shuhuda mimi ni mkazi wa Njombe mjini. LB7 usiku na mchana hapa jukwaani wanapambana kuitetea ACT, assadsyria, Rutashobolwa, mpk, Mingoi, FaizaFoxy na wengine wengi tu.

Hili la kutetewa na wanaccm siyo la jukwaani tu, hata vijiweni, mitaana maofisini wanaomtetea na kupongeza yote anayofanya ni wanaccm
 
Back
Top Bottom