Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

Naona tumewatoa mafichoni sasa...

Kwa historia ya nchi hii, Mtu akikanusha Jambo huwa ni ukweli...akikubali Jambo huwa ni Uongo...sasa nimejua kuwa CCM ndiye mfadhili mkuu wa ACT
 
Nataka kukubaliana na wewe kwa Tanzania mtu akikanusha kitu hasa upande wa watawala, fuatilia kwa umakini zaidi utakuta ni kinyume chake
 
Radio Uhuru,Gazeti la Uhuru,Mzalendo, Tazama TBC Gazeti RAIA Mwema, Mtanzania nk. Hivi vyombo vya habari vnamilikiwa na CCM na Makada wake. Hivi ndio vyombo vya habari vinavyoongoza kufagilia Act na Kuponda CDM. Kuna gazeti Maalumu limeanzinzishwa na Mpambe wa CCM kwa ajili ya kuandika propaganda za Act ili kuia Cdm. Linaitwa MKAKATI. Hao ndio CCM na Mkakati wao wa Kuisaidia Act ili CDM ife.
 
Mkakati linamilikiwa na nani kamanda? Maana kila siku ACT wavunja ngome ya CDM, mara hili!
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
Atujibu basi: Ilikuwaje kadi za ACT Mwanza ziuzwe na Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Nyamagana? Ilikuwaje Mwenyekiti huyo awalipe bodaboda kwenda kuandamana na kusomba watu? Nilipokuta kadi za ACT zinagawiwa na CCM Mwanza, nikaacha nia yangu ya kujiunga na chama hicho.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?

Huwa mnamatatizo yaani kilasiku huwa ndiyo wimbo leo mtu kakanusha mnakuja na kebehi mlitegemea nn! tunataka mtafute sababu nyingine ya kukuza chukizenu na mtambue chuki kwa ACT Mtapoteza mudawenu bure
 
Naona mnateteana kwa kupokezana, sasa ni zamu yenu kumtetea Nape!
 
Hili la kutetewa na wanaccm siyo la jukwaani tu, hata vijiweni, mitaana maofisini wanaomtetea na kupongeza yote anayofanya ni wanaccm

Mnataka kuniambia na wale watu wanaoenda kwenye mikutano ya Zitto ni wana ccm?
 
Nani hao waliotajwa? Bahati mbaya sikulipata Mawio.

jana kwenye kalamu ya nyaroro, kichwa cha habari kilisema nani anagharamia mikutano ya zitto? nanukuu " nimeambiwa kwamba wanaomfadhili zitto ni aliyekuwa mbunge wa Igunga na mweka hazina wa chama chetu Rostam aziz pamoja na aliyewahi kuwa waziri wa nishati na madini lakini akajiuzulu kwa sababu ya kashfa ya richmond, Bwana Nazir karamagi" mwisho wa kunukuu.
 
habari za kusema ccm inaifadhiri act ni sera za chama chakavu chadema( ccc)
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?

hawa vijana wa bavicha kaz kwel kwel; juz suala la mengi kwenye mitandao mlidhangaa kwa nn ikulu na ZZK hawakanushi! leo hawa hawa wanaponda kukanusha.... et ZZK hajakanusha mara ngap amekanusha dhid ya hizo shutuma? wapuuz ninyi mnafanya siasa za watu badala ya masuala
 
...Ila tu mmewataka buku 7 wote mitandaoni wapige debe la nguvu kwa ACT WASALITI. Na pia kusitisha safari za Kinana ili kumpisha huyo mnayemtumia afanye kazi yenu ya kuimaliza CHADEMA ifikapo June, 2015.

labda mkuu ungemuuliza je hao buku saba mnawalipa wakiandika kuhusu act? maana wako busy kwa ajili ya act na mama yake ccm
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii

Source: Raia Tanzania

My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?

Mbona Kadi za ACT hapa Mwanza zilikuwa zinagawiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana?

Baadae akawaita boda boda akawapa posho na pesa za mafuta ili wakampokee ZZK Misungwi? nilikuwepo siku hiyo...
 
nape wewe vuvuzela tu hujui chochote
mfadhili wake ni adui yako wewe utajua nini

vuvuzela kazi yake kutiwa upepo tu apayuke
 
habari za kusema ccm inaifadhiri act ni sera za chama chakavu chadema( ccc)

Katika teknolojia ya wakati huu si rahisi kuficha jambo ndg, yote yatafunuliwa. Hizi ni rasharasha, subiri masika!
 
Kwani ZZK kukanusha ndo tuamini kuwa ni kweli? kwani kukanusha sh. ngapi? Mangapi ZZK amekanusha baadae ikathibitika kuwa kweli?

Kwa nini Mwenyekiti wa CCM --Nyamagana agawe kadi za ACT siku ya UJIO wa ZZK? kwa awape Boda boda posho na pesa ya mafuta ili wakampokee ZZK MISUNGWI?
 
Back
Top Bottom