Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Hawa kuisaidia ACT ni Obvious
![]()
Hawa kuisaidia ACT ni Obvious
Hahaa mapigo tunayowapa ni mazito lazima wapige kelele
Wana hasira hao utadhani wapinzani si watanzania!
Mnataka kuniambia na wale watu wanaoenda kwenye mikutano ya Zitto ni wana ccm?
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii
Source: Raia Tanzania
My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
jana kwenye kalamu ya nyaroro, kichwa cha habari kilisema nani anagharamia mikutano ya zitto? nanukuu " nimeambiwa kwamba wanaomfadhili zitto ni aliyekuwa mbunge wa Igunga na mweka hazina wa chama chetu Rostam aziz pamoja na aliyewahi kuwa waziri wa nishati na madini lakini akajiuzulu kwa sababu ya kashfa ya richmond, Bwana Nazir karamagi" mwisho wa kunukuu.
Hiyo misaadaya kifedha wanajua wenyewe njia wanazo tumia kupeana. Ila misaada ya rasilimali watu ipo wazi kwani mikutano yote ya ACT inaandaliwa na makada wa CCM wote tumekua mashuhuda,lakini pia hata humu jukwaani tumeona namna jamaa zetu wa LB7 walivyo badili I'D zao na kupigia debe ACT.
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii
Source: Raia Tanzania
My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
Ndo maanake mkuu. Wale wanahamasishwa kutoka matawi ya nyinyiemu. Ndo maana watakaoathirika kupoteza ni nyinyiemu na si CDM.