Nape hatua moja mbele.

Nape hatua moja mbele.

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Kule tweeter kasema; Mungu amegawa kazi wengine kusifia, wengine kukosoa, wengine vyotevyote, kwa nini unachukia kazi ya mungu? (Acha ushamba)
IMG_20171031_142019.jpg
 
Amenakili Maneno ya zitto kuwa tuna viongozi malimbukeni na washamba
 
Naona usajili unalazimishwa. Safu imebakiza mfunga mabao kwa mkono.
 
Akija na huyu CDM na Magoli yake ya mkono + Bunge live ntastaajabu
 
Back
Top Bottom