Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Labda kama watawatoa nje ya CCM lakini kama ni ndani ya CCM hawatampata hata mtu mmoja ambae hanunui uongozi kwa fedha,asiye kula na kutoa rushwa vinginevyo kama wanataka kuiua CCM ambayo imejengwa katika msingi wa kununua uongozi,kutoa rushwa na kupokea rushwa.
 
juzi usiku nimemwona makongoro mitaa ya ufipa,sijui anataka kukimbia ccm!!halafu tabia yake ya kupiga misele na lile vx la east africa aache,yani mateja ya pale american chips kinondoni ndio washikaji zake...
eti ndo rais mtarajiwa kila baada ya sentnsi 2 "au sio" mara "au sio mazee" duuhhh shida
 
Yupo ambae hali rushwa wala hanunui uongozi naye ni Jaji Agustino Ramadhani[/QUOTE]

Ni kweli ana sifa hizo, ila hana uwezo wa kuwashinda Ukawa. Turufu pekee ya ccm kurudi ikulu kiulaini ni Makongoro Nyerere
 
kweli ramadhani hauziki wala wanaccm na watanzania hawamjui wengine waliposikia amechukua form waliuliza hivi na huyu yuko ccm tangu lini, hauziki na haffmiki watatumia nguvi nyingi kumuuza wakati wenzao wanaomba kura ccm wakimpitisha ramadhani watakuwa wanafanya kazi ya kumuunza kwanza na kumuombea kura itakuwa kazi ngumu sana ambayo kuifanya inaitaji moyo sana ,
 
hizo zilkuwa salamu kwa mzee wa vitisho mamvi ajue kuwa pesa sio kitu akili kwanza,uadirifu na heshima vinaweza kukufanya ukawa mtu wa maana duniani na kwa mungu pia.
 
Wala rushwa na watoa rushwa wao wanauzika sababu wanatoa rushwa kazi ipo kwa kizazi hiki.
 
kweli ramadhani hauziki wala wanaccm na watanzania hawamjui wengine waliposikia amechukua form waliuliza hivi na huyu yuko ccm tangu lini, hauziki na haffmiki watatumia nguvi nyingi kumuuza wakati wenzao wanaomba kura ccm wakimpitisha ramadhani watakuwa wanafanya kazi ya kumuunza kwanza na kumuombea kura itakuwa kazi ngumu sana ambayo kuifanya inaitaji moyo sana ,

Exactly mkuu
 
Yupo ambae hali rushwa wala hanunui uongozi naye ni Jaji Agustino Ramadhani[/QUOTE]

Ni kweli ana sifa hizo, ila hana uwezo wa kuwashinda Ukawa. Turufu pekee ya ccm kurudi ikulu kiulaini ni Makongoro Nyerere

Mwenye uthubutu wa kuikataa rushwa na kuipinga kwa moyo na nguvu ya kweli ni Makongoro,wengine wanasema wanaipinga huku wanaangalia pembeni hii ni kumaanisha wanaipinga kwa kufuata mkumbo tu
 
Kuna genge hatari limeundwa Kwa masilahi ya mkuu wa shamba LA bibi na wote walipewa vyeo baada tu ya kumtukana ama kumkashifu ama kumuandama ama kumpiga yeyote aliyeonyesha msimamo wa tofauti na mkuu wa Kaya kundi hili linaongozwa na Nape, Ni genge hatari sana na
nilakuogopwa kama uko a.
 
Mwenye uthubutu wa kuikataa rushwa na kuipinga kwa moyo na nguvu ya kweli ni Makongoro,wengine wanasema wanaipinga huku wanaangalia pembeni hii ni kumaanisha wanaipinga kwa kufuata mkumbo tu

ubaya wa ccm kuanzia viongozi mpaka wanachama wao wamejijengea kwamba uwezi kuwa kiongozi bila kutoa kitu kidogo kwa maana ya rushwa, sasa hapo ndipo kwenye mtihani mkubwa
 
Labda aataandamana na watovu wenzake wa adabu wasioheshimu wazee wao!/wanao wapiga baba zao! bila aibu na kupewa vyeo!!!
 
ubaya wa ccm kuanzia viongozi mpaka wanachama wao wamejijengea kwamba uwezi kuwa kiongozi bila kutoa kitu kidogo kwa maana ya rushwa, sasa hapo ndipo kwenye mtihani mkubwa

Tatizo siyo ndani ya ccm mkuu, tatizo ni huku kwa wananchi, tayari ccm wameishagundua wananchi wanachukia sana mambo ya ufisadi na rushwa, ndo maana wanataka apatikane mgombea msafi, anayekubalika kwa wananchi, ili hata akisimama kumuuza mgombea wa ccm wa ubunge na udiwani wananchi wapate kumsikiliza
 
Back
Top Bottom