NAPE: Dk. Slaa ameikimbia Mwanza mapema

Idadi ya madiwani iko wazi,
Hapa pongezi wape wale madiwani waliosaliti chadema na kufukuzwa na kufanya idadi ya ccm na cuf kuongoza.
Ila cha msingi ni kwamba cdm ni chama pekee kinachofanya maamuzi magumu, tuko tayari kupoteza hata jimbo zima kuliko kuwa na viongozi mamluki ndani ya chama chetu makini.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums


Ninazo kumbukumbu kuwa NCCR likumbwa na kundi kubwa la mamluki mpaka kikasambaratika;kwamba karibu asilimia kubwa walikuwa wanachama wakutengenezwa na ccm na usalama wa taifa ambao walipandikizwa NCCR kupanga na kutekeleza migogoro ili kisilete upinzani wa dhati kuipumulia ccm karibu.hayohayo yamefanyika kwa CUF mpaka sasa haielewiki kule visiwani zanzibar na pemba kama bado chama cha upinzani .haya pia yalitegemewa kwa cdm yatokee,sikweli kabisa kundi kubwa linaloshabikia cdm ni wahafidhina wa upinzani, wengine mamluki na wachumia tumbo.Weamekuwpo lutekeleza mipango ya ccm na usalama wa taifa kuidhofisha cdm, ili ccm iendelee kutawala milele.Hapa nape hana cha kujivunia, chaguzi kama za meya si kioo cha kuonyesha imara wa ccm, bali mbinu chafu kuionyesha jamii kuwa bado kinapendwa na umma.swali jamii itarudisha imani ya kutumikia wanyonge kwa kushinda umeya huku ukirubuni madiwani wa cuf na baadhi ya mamluki wa chadema?kwa sasa nape angejitahidi kuwatumikia wanyoge waliopoteza imani na serikali yao badala ya kujidaganya na viuchaguzi vya hila kama ngao kwa umma, wakati ukweli hali si nzuri.serikali hiyohiyo ndo imesababisha chama cha ushirika kufirisika kwa kumtumia dalali ambaye alikuwa mbunge wa ccm kuhujumu ushirika huo kwa kuuza mali za ushirika, hivyo kuwafanya wakulima kwa sasa kupata bei duni .Huyohuyo mbunge wa ccm magu dr.limbu amekuwa msitari wa mble kuwakejeri wakulima wa zao hilo bila kkuishauri serikali itie mkono kuwasaidia wapate bei nzuri.Kwa hiyo nape kujiridhisha kwa uchaguzi wa meya kama msingi wa maisha ya wana mwanza ni kukumbatia utoto.

 
Yan nape alitegemea tuendelee kuwalea wanafiki kwenye chama kisa umayer.

Eti ana washukuru madiwani wa CCM wakati ushindi wamepewa na Cuf.

Nape kwa nini huna shukrani kwa Madiwani wa Cuf?
 
Hapana wala hakuna kura iliyo ibiwa! Wala usalama wa taifa hawaibi kura hata siku moja!

Usalama wa taifa wao ni wataalamu wa
1: kung'o watu meno

2: kung'o watu kucha

3.kutunza pori la mwabepande.

Nasikia usalama wa taifa wameiba kura.
 
Porojo zingine sasa kama mlikuwa mnayajua hayo kwa nini Dr Slaa alienda Mwanza.
Nawe unajiita Great Thinker kweli!!!!haya unawakilisha kundi la wanazi wenzio wa Magamba mlivyo na upeo HASI.
 
Ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana..eti boga la Isimani.....kweli Isimani kuna maboga makubwa sana..Nyang'oro,Igula,Mangawe,Ngano,Chamdindi,ilambilole ni maboga ya ajabu
Nape VUVUZELA la ccm, mmefanya UMAFIA wa hali ya juu kwa kukiuka sheri kuhamisha wabunge wa Ilemela na diwani wa viti maalumu, halafu bila ya aibu unafunua domo lako pana kubwabwaja na kumwita Slaa Babu yako kakuzalia marehemu Babako? We Nepi subiri kipindi kipindi kifupi 2015 afya yako hiyo kama boga la Isimani itakwisha kama vile umetolewa upepo kwenye tube. Utatupwa kwenye jalala liwakalo moto wakati wote.
 
Nape VUVUZELA la ccm, mmefanya UMAFIA wa hali ya juu kwa kukiuka sheri kuhamisha wabunge wa Ilemela na diwani wa viti maalumu, halafu bila ya aibu unafunua domo lako pana kubwabwaja na kumwita Slaa Babu yako kakuzalia marehemu Babako? We Nepi subiri kipindi kipindi kifupi 2015 afya yako hiyo kama boga la Isimani itakwisha kama vile umetolewa upepo kwenye tube. Utatupwa kwenye jalala liwakalo moto wakati wote.

Mwene Havizya, maneno yako yameniongezea hasira yangu kuhusu huyu dogo Nape, kama umeikosa ban, soon nitapigwa ban mimi kama nitaendelea kuzisoma comments za watu katika uzi huu.
 
Kwani dr alitakiwa kukaa mwanza kwa muda gani hata kama CDM ingeshinda Dr angeondoka tu mwanza. Hiyo ndo siasa ukishinda unajisifu ukishindwa unalalama. Jiulize mara ngapi nepi ameondoka sehemu za uchaguzi kibaya zaidi sehemu nyingine hata chama chako chenyewe walikupiga stop. CDM imeshindwa mwanza jiji hilo halina ubishi. Aende kwingine ambako atashinda abaki mwanza ili iweje baki wewe nepi sherehekea ushindi. si utatumia kodi za walala hoi uishi hapo.
 
Hivi ni kitu gani kikubwa kimebadilika huko Mwanza kiasi cha Nape kuanza kushangilia? Technically bado CHADEMA watakuwa na nguvu sana kwenye jiji na hiyo halmashauri. Hii ni kama temporary reprieve, on the large picture, nchi inawaponyoka. Naona hii ndio habari nzuri kwa CCM toka ile ya Lema kuvuliwa ubunge. Pro-CCM tangu jana wametamalaki jamvini hapa wakifurahia, kaeni mkijua hii ni sehemu ndogo sana kwenye vita kubwa sana.
 
Idadi ya madiwani iko wazi,
Hapa pongezi wape wale madiwani waliosaliti chadema na kufukuzwa na kufanya idadi ya ccm na cuf kuongoza.
Ila cha msingi ni kwamba cdm ni chama pekee kinachofanya maamuzi magumu, tuko tayari kupoteza hata jimbo zima kuliko kuwa na viongozi mamluki ndani ya chama chetu makini.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mngekuwa na uwezo hata wa kupoteza jimbo, mbona mmemshindwa John Magale?
 
I bet sheria ya kunyonga wala na watoa rushwa wanyongwe wazi wazi akuna aja ya kuwa na vijana au wazee wezi,mtoa rushwa na mpokea rushwa ni wauwaji wa aki.
 
Matokeo ya ubabe,umaarufu wa majukwaani,na udini ndio utakaovimaliza vyama kama hivi. Kushinda umeya yaweza kuwa sio issue kubwa sana,lakini matokeo haya yanatoa taswira ya chaguzi za mbeleni zitakavyokuwa. Kwa itikadi hizi za ubinafsi,siasa majitaka..ccm will win easily 2015!
 
Hii ndoa ya CUF na CCM imejionyesha wazi Mwanza,CUF sio chama cha upinzani.Hapa inaonekana kwamba CCM walimwaga hela za kutosha.Ila CHADEMA ni ngoma nzito,hakitatetereka, ingekuwa pia ngumu kwa CHADEMA kuongoza kutokana na mfumo mbaya wa serikali ya CCM.
 
Mimi ningekuwa Nape siningefurahia na kujigamba kwa ule ushindi 'wa kishindo" wa umeya kule Nyamagana. Huo ni ushindi wa wapiga kura 11 kati ya wapiga kura 19 (eg madiwani wa jimbo hilo).

Ushindi unaotokana na umma wa wapiga kura ndiyo unaweza kusema ni ushindi wa kishindo, siyo huu wa by proxy. tumeona jinsi CCM ilivyofanya ghilba kimya kimya kuhamisha baadhi ya madiwani, kwani wangefanya kwa uwazi, CDM nao si wangehamisha pia madiwani kutoka ilemela kwenda kupiga kura kule Nyamagana? Wangeshindwa kufanya hivyo?

Nawaomba CDM waendelee kuwaelimisha umma kuhusu kushindwa na kutapatapa kwa CCM hadi wanafikia kutumia njia za kighilba ghilba za kutaka ushindi.
 
Kwani hao waliopiga kura walifikaje hapo Kama sio walipigiwa kura na wananchi naona unatumia kichwa kufigia nywele
 
cdm isiwavumilie mamluki hata kama, itamaanisha kushindwa 2015, bora tushindwe kuliko kushinda tukiwa na watu wenye akili za ki-ccm ccm
 
CDM wangeshinda Umeya Jiji la Mwanza tusingekunywa maji hata humu JF maana ushindi mdogo tu wanauchukulia ni wa TZ nzima hawaangalii idadi ya Wabunge au Madiwani
Kosa la Mwanza kafanyeni maamuzi magumu kwa Shibuda au Zitto tena
 
Back
Top Bottom