assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Hakuna ubishi wowote kuwa mwanadamu kwa asili ni so selfish.
Nape alikuwa kijana hodari alisimamia misingi ya haki Na uadilifu Na iliwahi kumletea matatizo. Ajabu akapewa cheo Na JK akatupa mbali alichokisimamia. Akadiriki kudai hata bao la mkono lipigwe ilimradi chama chake kisishindwe.
Pia Bashe kumkana Lowasa Na kubaki Na MTU ambae wanatofautiana ideology lilikuwa kosa kubwa. Utalalamika Hali lini?.
sasa nije kwenye hoja.
kufanya kosa sio kosa Bali kurudia kosa.
wote sasa they have come to their senses. Semeni ukweli,simamieni mnachokiamini.
maslahi binafsi tupa kule.
msitishwe,msiogope,hata mkifukuzwa wananchi tupo nyuma yenu.
I believe mkisimama imara kukosoa within ni Bora Na watawala watajirekebisha kuliko ukosoaji toka upande WA pili.
upande WA pili itaonekana ni kawaida hata km IPO hoja, we know, also u know that.
simameni Na haki Na fitina iwe mwiko kwenu.
tumeona harakati Za kuwanunulia plaster Za mdomoni.