Nape azomewa tena Rorya

rudi kule kwenye jukwaa la watoto
wewe si ndio ulikuwa unaomba msaada ufundishwe jinsi ya kupata mwanamke?
kisa ni kwamba unalalamika kuwa unpiga punyeto mpaka unachubuka!!!

Dah!! mwenzangu!
 
rudi kule kwenye jukwaa la watoto
wewe si ndio ulikuwa unaomba msaada ufundishwe jinsi ya kupata mwanamke?
kisa ni kwamba unalalamika kuwa unpiga punyeto mpaka unachubuka!!!

Basi hili jamaa Iron finger hamnazo alitaka kufundishwa namna ya kutongoza? Duu umechemka jombaa
 
Sikio la kufa halisikii dawa. Huyo GAMBA amepigwa upofu mpaka mambo yamharibikie mikononi mwake. Hafanyi makusudi, ni dhahiri kabisa ana ndoto kubwa sana ya kukifisha chama mahali pazuri. Nampa pole sana maana hata MAGAMBA wenzake wameshamtenga jamani njaa hizi hadi zinawadhalilisha hata wasomi waliojiconscitize!
 
Hivi na ww kwa akili yako unategemea tanzania daima liandike mema ya ccm. Hili lajulikana ni gazeti la mbowe, unataka wenzako wanyimwe mshahara km wasipo andika mabaya ya ccm. TANZANIA DAIMA = MBOWE = CDM , unategemea nn sasa hapo !

na saed kubenea yeye chama gani? Mbona anaandika ukweli zaidi ya Tanzania daima.
 

Haya ndo matatizo ya kununua vyeti halafu wanaitwa vijana wasomi kumbe hamna kitu kichwani. Kama alienda shule alitakiwa kuyajua hayo na hasa kama yeye ndo kioo.
 
Hivi na ww kwa akili yako unategemea tanzania daima liandike mema ya ccm. Hili lajulikana ni gazeti la mbowe, unataka wenzako wanyimwe mshahara km wasipo andika mabaya ya ccm. TANZANIA DAIMA = MBOWE = CDM , unategemea nn sasa hapo !

Mambo vp kafumu? Vp hali ya hewa Igunga.
 
Namshauri Nape ajipange upya game limemkataa!
 
He is insane culprit, badala ya kutanga sera za chama chake kirevive yeye anashindana na cdm. Kama ameamua kujichubua siajiunge TOT band au wazee wangusuma? Anyway nawasiliana na Mzee Yusuph achukue kipaji. Is he doing sloughing off to fisadis? Ooh i doubt it, instead they will slough him, very pit for a man of his calibre.
 
nape ana elimu ndogo sana hasa elimu dunia.

Kuna mwana JF alisema Nape ana elimu ya kihindi! Nafikiri ya kihindi in the context ya jinsi tuwachuliavyo wadosi.
All in all, Nape is loosing his political ground and he's sinking! He ought to go for redemption seeking salvation from mzee Makamba kwani alimfungia dunian hadi mbinguni. Pity on you Nape.
 
we zero brain ndo nape mwenyewe....

ha ha ha....genius brain = zero brain! Kampeni zimeisha kwa amani huko Igunga na Rorya. Kesho ni kupiga kura, then matokeo! Long live CCM, and all the best CDM, CUF et al.
 
We mukare wa kuandika
 
Tumesikia upande mmoja sasa tunataka NAPE ajitokeze atueleze nini kimetokea kwenye huo mkutano ili tuweze kuchanganya na za kwetu.
 
Mkuu hata yule jamaa aliweka dau mie nilimhakikishia kabisa Nape kule hakanyagi-Igunga,na hata kama angewekea milioni mia aende Igunga kufanya kampeni asingeenda kwani ni mropokaji ndini ya magamba wenzie,yaani wangeji-Mahona wote wana magamba waliioko Igunga kama Nape angetokea kule kwa ajili ya kampeni,sasa angalia kaibukia Rolya na kuanza kuengea utoto,hivi huyu mnasema msomi ni msomi gani huyu jamani,kwani wanafunzi walioko darasa la saba-LY,form one mpaka form two hivi wanaochipukia na athari za rika ndo wangepaswa kupanda jukwaani kusema hayo ya tafsiri ya salamu ya Chadema na sio yeye kwa cheo alichopewa na CCM Magamba.hiv tuseme ukweli angelikuwa Mnyika angefanya vitu kama hivyo,Zitto,Kafulila,Wenje,David Silinde,Moses na wengine walio makini wangepanda jukwaani na kuanza kuwaambia watu utumbo kama huo?
Ni kweli anatafuta night,maana ametoswa kwenye ulaji Igunga.Nenda basi na jiji la mwanza umeaalikwa ukaeleze huo utumbo wako,kiukweli ni afadhali magamba wangelikuwa wanafanya mambo yao ya dhuluma kwa kutuheshimu lakini wanafanya wazi wazi na dharau kubwa,hivi leo bado mnaamini tu angali gizani kivile?Nape hebu tueleze bwana mdogo inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…