Nape azomewa mkutanoni Kasulu

Nape huwa anaropoka mara nyingi kuwa upinzani unakufa, naona sasa kajionea mwenyewe kifo cha chama chake kigoma!
 
atakapofika kigoma ajitayarishe kuwatuliza wana kigoma watakapotaka mji unaotaka kujengwa kigamboni ukajengwe kigoma maana kikwete aliwaambia kwamba kigoma itakuwa dubei
 
Napelile Mwandosya! Anamtafuta mzazi wake bado?
 
hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe
na ya kwako aachiwe nani??
 
Wa kusoma naomba jibu la swali la 2 na lile la mwisho tafadhari
 
Ngoja na mie nimzomee hilooooooo kubwaaaa jingaaaa!! ! Linafikiiiii,likizeeka litakua chawiiiii!!!!
 
nape.nda bana? dah kituko chaukweli. Ila dawa yake inatokota mdomdo. Jamaa yuko courage wala haelewi somo kijana wawatu. Hajui ni mwiba gani upo njiani. Watu wengine wako siriaz, yeye anatania nchi
 
Pole zake na magamba woote...ila itaeleweka tuuu...watu wameichoka CCM......
 
Anasema walimtosa Lowassa kwa sbb ya mchezo mchafu ndani ya Richimond, anasema eti amewaambia Mahakama ahakikishe wanaotumia madaraka vibaya wawajibishwe.

wame mtosa nini? wana muweza?DHAIFU mwenyewe anafyanta pale aje huyu NEPI mropokaji?,si alisema ata wavua ....magamba imekuwaje?
 
CDM inawauma sana mkiona secretariat ya CCM inafanya mikutano mbona nanyi mkifanya yenu haituumi acheni wivu wa kike

sekretarieti imezomewa kujana wivu upi unaongelea?,au wa DODOMA kuzuia lema asiongee na wananchi? POLICCM
-Kusaidiwa na JWTZ koote bado hamuelimiki tu? au ndo kumtumikia KAFIRI mpate mradi wenu?
 
ccm hiyo hiyo 2012 imemteua mwarabu mweusi(msomali)abdurahamani kinana.kinana ni mmoja wa wamiliki wa kampuni yenye tender ndani ya bomba la gesi mtwara dar,ccm chini ya kikwete imempa kazi kinana kuendeleza na kulinda wizi wa rasilimali ya nchi.
Hebu tupe uthibitisho wa haya machache maana naona umeibua mapya humu.
 
Waha hawapendi wanafiki. Ukiwaudhi ni ngumu kurudi nyuma.
 
Kasulu hamna Boda Boda? Maana Boda Boda wao hawatanii wala kuzomea. Hawa jamaa wapo One STEP Ahead.



Uumize kifua kwa kukimbiza upepo halafu mtu akuletee za kuleta, lazima wote mrudi ground zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…