Mbona Slaa anatumikia wananchi akiwa mwanasiasa tangu 1995 alipoingia bungeni.Alichosema khs Slaa amesema eti alishindwa kuwa mwaminifu Kanisani ataweza kuwa Mwaminifu kwa wananchi?
hongera Nappe bado hujakata tamaa na Lowassa wako.?Anasema walimtosa Lowassa kwa sbb ya mchezo mchafu ndani ya Richimond, anasema eti amewaambia Mahakama ahakikishe wanaotumia madaraka vibaya wawajibishwe.
Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.
Mkuu umejuaje kilicho sahihi na uongo? Uko Kasulu leo?Wa kusoma mwogope mungu, na rudia kuandika kilicho sahihi.ndiyo huipendi ccm sa kuzusha uongo humu fb ndo kukinyanyua chama chako? Sasa hv tu hamjapata madaraka,je mkiwa madarakani? Hata hvyo umenda kufanya nn ktk mkutano wa ccm na ww huwapendi,kuna watu haya hawana na ww sidhan hata kama uliwahi kuwa mkweli maishani mwako.