Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.
Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.
Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.

Siasa za upotoshaji zinadumu pale watu hawana elimu ya uraia.
Kigoma watu walishastuka siku nyingi. Nape angejaribu tu kufanya siasa zenye msingi wa ukweli. Atayaona zaidi.
Vipi hajasema kuhusu kadi ya Dr. Slaa?
Alidhania bado ni wadanganyika!Nape ameamua kushuka jukwaani eti akanywe maji na anamwita mjumbe wa Nec wilaya ya Kasulu na mbunge wa zamani wa jimbo hili kwa tiketi ya CCM ndugu Daniel Nsanzugwanko ili aweke mambo sawa naona anajaribu kuregulate lkn bado na yeye anazomewa pia, huyu jamaa anamwambia Nape ati walimchakachua ubunge na alipoenda Mahakamani wamemchakachua na sasa amepeleka Mahakama ya rufaa hukumu ni tr 6 february, jimbo la huyu jamaa kalichukua mama Buyogela wa NCCR kasulu vijijini.
Kasulu hamna Boda Boda? Maana Boda Boda wao hawatanii wala kuzomea. Hawa jamaa wapo One STEP Ahead.