Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani


Akiwa nape pekee yake basi itabidi wamkabidhi na mafisi
 
Nape ajifunze kuongea. Wampe pia somo la hotuba. Kila anakokwenda kazi yake ni kuwananga wapinzani. Si vibaya kuwananga wapinzani lakini unapofikia mahali pa kuwaona wasikilizaji wako kuwa wamepewa viroba, ina maana ulikuwepo wakipewa, sasa weye ulifanya nini kuzuia?? Msiwafanye wote wanaowapinga kuwa ni walevi wa viroba.
Ukipendwa na kila mtu, upinzani utatoka wapi?? Ndo maana maccm yamelewa madaraka kiasi kwamba hayaamini kuwa kuna mtu anayeweza kuwapinga. Sivyo, upinzani si uadui, ni kukutoa tongotongo uone vizuri uendako.
 
Wangempiga Na Viatu Vyao Vya Mguu Wa Kushoto Kuonyesha Ishara Ya Kuepuka Laana Ya Mwanaharamu.
 

Chukua zangu tano mkuu
 
Maneno hayo Nape inaaminika kapewa na wale wenzake kaanza kichwa kichwa anadhani kwa kuwa UKAWA wako ndiyo kuisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…