Nape aukwaa ubest man

PHP:
da huyo jamaa aliye mchagua nape nae anafikiri kwa kutumia masaburi hajaona kile kilicho mtokea kada mwenzao igunga alivyo chukuliwa mke na mwigulu mbunge wa kule kwetu singida?
 
Si nilisikia Nepi anaoa kumbe ni bestman ebu toeni maelezo ya kujitosheleza bana hapa sio tweeter au fb
 
ngoja aje bwana mkorogo mtamsikia .."isipo pita siku bila kunitaja hamtosheki..mme zoea vya kuchinja vya kunyonga hamviwezi kinyago cha mpapure babu weee"
 
Nape kwa haya mambo hasa wake za watu hana matatizo.

Ila tu angelitokea NCHEMBA wa CCM, walinzi na wapambe wote roho zingelikuwa juu juu.

Nchemba ni kiboko na mwisho wa matatizo kwa wake za Wana CCM wenzie.

Nchemba for PRESIDENT>>>>
 
jana tuliambiwa anaoa yy mwenyewe, kumbe sio...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…