Ukiona msemaji wa chama anakiuka misingi na taratibu za chama (kama misingi ipo na taratibu zipo) kusema lolote kwa vyovyote bila kukemewa,ujue nyuma yake kuna kundi Fulani au mtu fulani mwenye nguvu katika chama.
Hii ni hatari kwa ukuaji na ustawi wa chama,na haraka hupoteza mvuto wa chama kwa wanachama na washabiki wake. Hali hiyo pia inaongeza sababu katika mambo yanayoweza kuua chama