Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
mkiona hamjibiwi siyo hatuna majibu ila tunawaheshimu. kwani tunajua mnajitahidi kupost ili muingize siku endeleeni usije mkakosa mshahara bure.Madaktar wanaitafuta ndoano kwenye mwili wa chadema haionekani lakini usaha unazidi kutunga tumboni,,,,,,,,,,,,,,,,nape endela na operesheni bandua plasta ukutani
naamini tutaizika ccm kwanza kwabla yaiyo dua la kuku kwa mwewe halijafika. RIP CCMchdema itakufa gafla
Ugaidi ni suala linaloitesa dunia, na linanamna ya kushughulikiwa na Dola ambayo inashikiliwa na chama Chako. Kama una data namna hiyo na unataka tuamini ni za kweli, kwa nini wahusika wasikamatwe na kfikishwa mbele ya vyombo vya sheria?!
Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi.
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.
Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.
NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Join Date : 13th July 2012chdema itakufa gafla
Ugaidi ni suala linaloitesa dunia, na linanamna ya kushughulikiwa na Dola ambayo inashikiliwa na chama Chako. Kama una data namna hiyo na unataka tuamini ni za kweli, kwa nini wahusika wasikamatwe na kfikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kushindwa kufanya haya kuna maana mbili kwa mtazamo wangu:
1. Hizi ni propaganda za kisiasa hasa za wanasiasa waliofilisika kisiasa wanaoamini katika matusi na uongo kama nyenzo ya kuwavusha! Waliijaribu Arumeru Mashariki ikawashinda! Wanataka kuipeleka na Sumbawanga!
2. Hizi ni jitihada mpya za kujaribu kuwarejesha wanachama walioamua kujivua magamba na kuvaa magwanda, kwa kukichafua chama walikokwenda kujiunga. Tuhuma hizi zinzotolewa ni nzito mno kusemwa kwenye majukwaa ya kisiasa. Kwa Serikali makini watuhumiwa katika jambo hili hivi sasa wangekuwa wanavunda!!
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.
Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.
NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Hii homa ya western investors itatuacha lini watanzania? kwanini tunaamini kuwa maendeleo yataletwa na foreign investors? Kama ukoloni mkongwe haukutuletea maendeleo, iweje leo tuamini ukoloni mamboleo utuletee maendeleo? Haya hiyo mitaji iliyowekezwa kwenye migodi ya dhahabu Geita, Kahama, Nyamongo n.k. imetusaidiaje zaidi ya kuleta maradhi na vifo vya wananchi wasio na hatia? Kwanini hatutumii elimu zetu kutatua matatizo na kujiletea maendeleo, badala ya kuimba nyimbo za makuadi?hata hawa chadema, hawaoneshi kupigana kimaneno vita vya kujenga uchumi na CCM, je huu ni upinzani wa kuimarisha chama au nani ni bora kutujengea maisha bora? Chadema, tueleze una foreign policy gani nzuri za ku atract western europe investors? au na wewe bado una kasumba ya kuichukia marekani na Israel ukipata kiti cha agano?
Muds rudisha post ya waraka wa kamati kuu ya chadema uliovuja utakuwa ni waraka wa kweli kwa mauaji ya lwakatare iramba.kufa chadema
Waraka mlioandaa baada ya kuandaa mikakati ya mauaji; waraka mlioandaa kuhalalisha mauaji!!. Haitawasaidia! Damu ya watu inayomwagika itawahukumu.
Mungu mwenye haki anawajua wenye haki wake.
CCM die now; let my people live.
Ironically adhabu ya kupigwa mawe hadi ufe anastahili mwanamke aliyeolewa akaenda kuzini nje ya ndoa.
Binaadam ambae hana maadili hata ya kufata maelekezo ya vitabu vitakatifu na kama haviamini hivyo basi hana hata maadili ya kibinaadam ya kwenda mahakamani au wilayani tu na kula kiapo cha ndoa, leo ana mdomo wa kushutumu wengine eti ni waongo!
Hiyo ndio kuelekea "Nchi ya Ahadi"?
Eeeh Mungu wetu tulinde na hii kaumu iliyojaa kuvunja kanuni ulizoziweka. Na uilinde nchi hii isije kuingizwa na hawa wachuma dhambi kwenye lindi la dhambi. Mungu ibariki Tanzania kwa halali na si haramu.
Kama ungeuona ule waraka ungeelewa kila kitu, umafia upandikizaji sumu, na chuki ndani ya jimbo la Iramba pamoja na uovu mwingine nchini ulikua umeadhimiwa kwa pamoja na viongozi wa CHADEMA, kwenye kikao cha ndani kilichafanyika nyumbani kwa Mbowe Mikocheni na Rwakatare ndiye aliyepewa jukumu hilo na aliitekeleza kwa Kadri walivyokubaliana yaani kuhakikisha watu wanajeruhiwa na wengine wanakufa kama ilivyotokea jana, bahati mbaya sana MODs waliupuuza na kuundoa ule waraka ulioasisi mkakati huo.
CHADEMA Mnatupeleka wapi? Msituvurugie amani yetu kwa tamaa ya madaraka