Nape apita kimya kimya Tabora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape apita kimya kimya Tabora!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MFALME JUHA, Jun 4, 2011.

 1. M

  MFALME JUHA Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hali isiyotarajiwa katibu mwenezi wa ccm tanzania nape nauye amepita katika mkoa wa tabora kimya kimya akitokea mkoa wa rukwa, nape bila kutarajiwa hata na baadhi ya wana ccm kupata taarifa za nape akiwa tayari kisha pita na kuelekea singida, hali hii imewafanya baadhi ya wadau wa siasa wa mkoa tabora kujiuliza kulikoni nape kupita kimya kimya bila hata ya taarifa au hata angalau mkutano mmoja!
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Atakuwa amepungukiwa na t-shirt na khanga za kugawa! subiri atarudi na 'new stock'!
   
 3. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  umekosa cha kuandika unajua ratiba ya ccm wewe.
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  tunampa promo mtu mwenye ugonjwa wa akili bhana!! eish..:glasses-nerdy:
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  thread ya kijinga mbuzi nyingine sijui zikoje
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hana Tshirt za kutosha
   
 7. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  kama unaijua si uiweke hapa
   
 8. S

  Salimia JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wewe chundu kwelikweli, kama huna cha kuandika nyamaza
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mmh tabora si ndio ngome yao? Shame on you ccm!
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Stock imemuishia halafu leo ni Jumamosi wanafunzi hawawezikupatikana kwani hamjui mikutano ya Magamba kufanyika Weekend ni aibu. Wahudhuriaji wapo off leo:majani7:
   
 11. m

  moshijeff Senior Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mbona ndio chundu number 1, ulichokiandika wewe nikipi? mbona wewe huna ulicholiandika na hukunyamaza. CCM imekunywa sumu kali itakufa hili halina ubishi liko uchi kabisa bwan mdogo. si shangai nape kuipita tabora najua T-shirt,kofia na magari ya kubeba watu hayakuwepo so kukwepa aibu kalala mbele
   
 12. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe mbona unafuka moshi kama jina lako? unamuigiza bila kujua maana? wee unajua maana ya chundu wewe? au unakurupuka tu. kakojoe ulale dada.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anamuogopa Hussen Bashe si unakumbuka aliahidi wakati ule akiwa na Bwanawake Mengi kuwa atawapiga mawe? Nape bado anakumbuka ahadi ile hasa katika kipoindi hiki ambacho Mengi amegoma kutoa pesa zake baada ya kumstukia Nape kuwa ana mpango wa kumuingiza Mwanadosya madarakani baada ya Membe ambaye Mengi anamuunga mkono.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuwa mwanangu unaone....
   
 15. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  t-shirts zimeisha nadhani wakuu
   
 16. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape, Tabora umepita kimya lakini kanda ya ziwa wape taarifa kwamba unakuja. Unasubiriwa sana Tarime - uwe na kanga au mtupu.
   
 17. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hiyo ya tarime he he hee! Ampigie nyambari amuulize kilichompata
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Safi Nape tunataka kwa siku thread kama sita hivi
   
 19. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Support. Safi sana Nape. Keep them busy
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kichwa cha mwendawazimu! Unakomaa kugawa na t-shirt wakati ......... yaani huyu ndiyo CHUNDU No. 1. sorry sijuii maana ya chundu lakini huyu bwana mdogo nampa hilo jina.
   
Loading...