MFALME JUHA
Member
- May 5, 2008
- 13
- 1
katika hali isiyotarajiwa katibu mwenezi wa ccm tanzania nape nauye amepita katika mkoa wa tabora kimya kimya akitokea mkoa wa rukwa, nape bila kutarajiwa hata na baadhi ya wana ccm kupata taarifa za nape akiwa tayari kisha pita na kuelekea singida, hali hii imewafanya baadhi ya wadau wa siasa wa mkoa tabora kujiuliza kulikoni nape kupita kimya kimya bila hata ya taarifa au hata angalau mkutano mmoja!