Usipoteze muda kumsubiri huyo kilaza hana jipya wala majibu hukumsikia mkwe,re kule BBC Swahili huyu nae atakuja hivyo hivyo namajibu ya hovyo hovyo kama ya mkwe.re
hakika nape kawakimbiza magwanda ile mbaya, maana kila siku humu thread zaidi ya moja inamjadili jembe nape, ccm hamkukosea kumweka nape. Kawachanganya watu hapa utadhani anaakili sana