Nape apata watu kiduchu kwenye mkutano wa hadhara Mufindi.

Mlyafinono

Senior Member
Apr 6, 2012
177
47
Picha za mkutano wa nape Mafinga juzi mei.jpg sani.jpg uk.jpg
 
anakula per diem ya bure!hivi anawaeleza ni wananchi?bei ya mafuta soko la dunia imeshuka kwa 24% hapa inazidi kupaa
 
Nape, Nape, Nape.....rudi Daslam haraka Lema kesha tangaza vita huku nimeamua nikutonye mapema mtu wangu.
 
wanatosha kwani hao ndo wapiga kura,,,kwani hao wanaojaa wanapata nn cha mno?
 
Nape una wivu mbaya sana na m4c wewe,kama wananchi wamewachoka hakuna la kufanya kuzuia nguvu ya umma na lichama lenu la mauwaji ya raia!
 
Back
Top Bottom