Kile ni kitambi au mimba? vitambi vinajulikana kitambi gani kile kama kibuyu.Jana ndo niliamini Nape ni kilaza, alipopanda jukwaani pale uwanja wa right to play, Mugumu alianza kwa kujisifu kuwa kile kitambi chake amepata ndani ya miez nane alipoazimwa na serikali kuwa mkuu wa wilaya............
Kile ni kitambi au mimba? vitambi vinajulikana kitambi gani kile kama kibuyu.
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Ndugu zangu,
Jamii Forum ni social platform yenye heshima sana. Ni sehemu ambayo watu tumezoea kupata mambo ya msingi sana ikiwa ni pamoja na mijadala yenye masilahi kwa Taifa letu.
Lakini kwa mtiririko wa sasa kwa baadhi ya watu kutupia tu habari ili mradi wawe hewani siku hiyo si jambo jema na wala halina afya kwa forum hii. Tabia hii tusipo ikemea mapema itapelekea forum hii kupata taswira ya udaku kitu ambacho binafsi nisingependa kamwe.
Ushauri wangu ni kwamba watu watumie majina yao halisi humu maana naamini itawasaidia kutafakari kabla ya kuandika chochote. Vinginevyo itakuwa ni udaku form kitu ambacho forum kubwa kama hii haitafanana nayo.
Kama huu uongo wa mchana kweupe kabisa eti Nnape kazomewa Serengeti.
Nawasilisha.
Mh. Nape yawezekana sana mnashine kwenye propaganda za majukwaani, lakini kweli mnaishi mnenavyo? Na je ni kweli viongozi wa sasa wa CCM mnaamini katika CCM?Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Mh. Nape yawezekana sana mnashine kwenye propaganda za majukwaani, lakini kweli mnaishi mnenavyo? Na je ni kweli viongozi wa sasa wa CCM mnaamini katika CCM?
Hizi ni baadhi ya ahadi za mwana CCM, ili kuwa mwanachama wa kweli huna budi kuishi katika ahadi hizi: -
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Kwa wasio wana CCM mnawaona kama ndugu zenu?
2. Ujamaa na kujitegemea ndio njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru. Nape mnaamini na kuishi ktk imani hii kweli? Mbona mabepari ndio egemeo kuu la chama? Tunayaona wazi wazi mfano, mmiliki wa SHIVACOM na michango yake kwa UVCCM then, sekta ya simu kuwa legelege ktk ulipaji wa kodi.
3. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa. Kweli mnaishi ktk imani hii? Rejea Uchaguzi wa Wazazi na Wanawake Dodoma. Reference Malalamiko ya JK kuhusu chaguzi hizo.
Ukiongeza na kuporomoka kwa uchumi kunakotisha, hivi kweli Nape unaamini kuna mbinu ambayo hamkutumia huko nyuma mtakayotumia kurejesha matumaini yetu? Au Mnadhani kuipiga vita CDM wakati mkiwa madarakani ndio ufumbuzi wa matatizo yetu?