Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,310
Kwa sasa Nape Nnauye sio Waziri tena kwenye Serikali ya Awamu ya Tano, ila anao uwakilishi wa kuchaguliwa wa wananchi wa Mtama kwenye Bunge la Jamhuri.
Bila shaka kwa uwezo na uzoefu wake anaweza kuongoza mojawapo ya kamati za kudumu za Bunge... Unadhani anafaa kuongoza kamati ipi?
Bila jazba wala mihemko, toeni mapendekezo.