Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Wengine tuko safarin tujuze mkuu anaongelea vitu gani hasa!!!
Inahitaji MOYO wa ganzi ili uweze kumsikiliza huyu jamaa.
Amejieleza vizuri sana na kujibu maswali ya mtangazaji kwa ufasaha: labda tuwaombe TBC watuwekee majibu yake kwenye text format kwa manufaa ya wengi: Au ndugu NAPE atujuze wana bodi kilicho jili usiku wa jana, na hasa hasa mabango yalihishia wapi? hila nawapongeza kwa kusogeza karibu Mkulima Mzee Mangula - tutegemee uwajibikaji ndani ya CHAMA, mzee huyu ni jembe sana.
Nape huwa haelewekagi ndani ya chama maana yeye NI MPAYUKAJI TU,
Hana jipya