Nape aogopa kutia mguu Arusha

wwe sasa inamaana uju anakuja kyuonge nii? au ni unafiki pia unao na kuandika vitu usivyo vijua nape hana sera za kueleza wana arusha cha msingi ni yeye kujisafisha na chama chake alafu aje mbele ya wananchi wakiwa wasafi
 
arusha na moshi zilishakuwa ngome za chadema siku nyingi. CCM hazina chao.
<br /> <br / nadhani hi ndo miji pekee ambayo wanamaanisha wanachokiamini.na hi ni tokea enzi za mariale alipokuwa kigingi tokea uhuru then mrema katika 2 phase then chadema
 

Nadhani hii kesi imekaa vizuri sana yetu macho sasa.........
 
Mbona hayo maswali ni magumu sana.. Hata umgemleta Jakaya na Mawaziri wake wote.. ukawapanga pale Stadium Sheihk Amri Abeid wasingejibu hata moja kati ya Hayo.. Kwani yote wao ndiyo washtakiwa wakuu..............

Nape akija Arusha kwa hali ilivyo sasa ni vita anatafuta tu.... Na nitashangaa sana wakiruhusiwa kufanya mkutano wakati wenye mji Chadema tunabaniwa....

Aluta kontinua mapambano siyo yanaendelea ndiyo kwanzaaaaaaaaaaaa yameanza.......
 
Heshima yenu,
Hivi uongo huu MPAKA LINI? MTU AKIANDIKA UKWELI WA KILICHOTOKEA ANAPUNGUKIWA NINI HAPA? KWANZA KWANINI HAMSEMI KUWA KESI IMEKWISHA BAADA YA WAKILI WANLEMA KUSHINDWA KUTHIBITISHA KUWA YALE ALIYOSEMA YALIKUWA NI MATAMSHI YA NAPE, HASA BAADA YA MHARIRI WA NIPASHE KUKIRI KUWA WALIMNUKUU VIBAYA NAPE? NALO MNALIFANYA LA ITIKADI? NDO MAANA THREAD ZOTE ZINAZOONYESHA UKWELI WA HILI HUMU NDANI NIKIZISOMA MARA MOJA YA PILI NA YA TATU NAKUTA ZILISHAONDOLEWA???? HIVI MWATAKA TUAMINI HUMU HAKUNA THREAD POSITIVE INABAKI ILA YENYE UZUSHI NA UONGO NDO IBAKI?????!!!!!
SITAKI KUAMINI KUWA HATUJUI KUWA KESI YA NAPE NA MHARIRI KWA UPANDE MMOJA NA MDAI WAKILI WA LEMA HATUJUI KUWA IMEFUTWA NA SASANQUA KESI YA MSINGI YA LEMA NA WALE WAPIGA KURA NDIO INAENDELEA!!!!!! NADHANI KWA MWENDO HUU MTATUFUKUZA WENGI HAPA
 
Mkuu,
Caps=Shouting/Yelling...

Just to let you know.

Siyo big deal lakini kwa mtu wa level yako it is...
 
Huyu Nnauye si uondoke tu humu? Ni nini utatufanya? We ni mtumwa tu wa mafisadi,lakini nina imani ya kwmb utakumbuka shuka ingali kumekucha. Mtumwa wa mafisadi wee!!
 
Aje tu Ar tumcameruni akawaahadisie magamba wenzie
 

Nashukuru kukuona hapa.Kuna gazeti limeandika kuwa unaumwa na umelazwa na ndio maana hukuweza kwenda mahakamani. Ni kweli? Kama ni kweli pole sana. Unaendeleaje sasa?
 

nape acha woga, unaogopa kupanda kizimbani! Au tatizo ni jiji la arusha. Halafu punguza kupuruka kama unaota ndoto.
 
Du!! Hii nimeipenda sana mkuu. naomba uwe unawaeleza mara kwa mara maana wanajisahau sana
 
Kumbe auumwi nilifikiri walishakumwakyembe! any ways acha kulalamika kama bosi wako wewe si ndo mzee wa propo sasa ikikurudi tuliza masaburi ha! ha! ha!
 
NAPE LETA UVUVUZELA WAKO ARUMERU... Arusha hatunaga wapia midomo bali huku ni kazi tuuuu, Huyu bwana nipiga DomO sasa hilo DOMO ajealipigie ARUMERU.
 
hata kuchafuliwa pia ni siasa.ukiona hivyo ujue ni mpango umeandaliwa.
 

we endelea kupiga mayowe hapa washiri wanakusubiri wazae na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…