tena haswaaaa, mkuu hapo umelonga, ukisoma uandishi wa habari na utangazaji unaambiwa anything done by public figure its a news, tena ikiwa kitu un'usual kama huyo nape na mikorogo ndo un'usualness yaongezeka, .Hao public figures ndo wanafanya media's n other things spin so mai naona sawa tu kwa yeye kudiscusiwa hata kama amekutwa na .........wangu umeniponzaaaaaaaaaaaaaa.....