Nape: Anapo kikimbia kivuli chake

Nape: Anapo kikimbia kivuli chake

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Nape kwa kauli yako mwenyewe ulisema kwa kesi hii lema hawezi kushinda na kuwatangazia ccm mkoa wa arusha kujiandaa kwa uchaguzi na kujigamba kuwa mtashinda kwa kishindo.

Kamanda na mkuu wa operesheni wa polisi mkoa wa arusha naye akakuunga mkono kwa kusema kesi hii lazima imtie lema kidole.

Magazeti kadhaa yaliwanukuu na kauli hizo ziliingilia maahuzi ya mahakama,nakumbuka uliitwa mahakama kuu ya arusha lakini kwa kiburi na zarau ulizo nazo hukwenda.

Na kwasababu baadhi ya watumishi wa serikali na baadhi ya mahakimu wako kwa maslahi ya ccm. Hawakuchukua hatua yoyote kwa zarau uliyoionyesha kwa mahakama kuu arusha.

Sasahivi unaibuka na pongezi za kinafiki kwa mtu yule yule uliye msemea vibaya mwanzo.kulikoni???!

Tunafahamu inawauma sana lakini ndiyohivyo yamesha tokea (kweli mungu si binadamu)

mods:nawaomba msiunganishe tafadhali
 
huwa hawana haja ya kuwa consistent.Kwao kila kitu wana dandia na wataruka bila kujua sana mengine.
 
Hivi ulitegemea CCM wawaambie wapiga kura wa Arusha kuwa Lema atashinda? Huoni kuwa Nape alikuwa anatimiza wajibu wake kama kada na alilolisema leo ni dalili ya kukubali ili maisha yaendelee?
 
Lema ni (pyumbyu) toa hzo y zote kwnye mabano
 
Back
Top Bottom