Mtagingwembe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 377
- 91
Nape amalizane kwanza na Lowasa.
Yaani we na akili zako timamu unamsikiliza huyo Takataka..
Hivi kwa uelewa wako mdogo kabisaaaa, kama kunamasharti yoyote mabaya au mazuri kwa Nchi yetu aliyopewa Dr Slaa na nchi za Ulaya Nape asingepakachua lile domo mithiri ya fuko la gunia.?
Kama watu waliweza kupakazia ugaidi ambao haupo watashindwaje kutaja zitu ambavyo vipo?
BACK TANGANYIKA
Nape magamba yamekushinda umeona umparue mzee slaa, hapo pazito hupawezi dogo, endelea na watia nia wenu huko huko ufisadini.
Slaa atakuletea balaa gani ndugu? na akamatwe na kufungwa kwa kosa lipi?Huyu Slaa huyu atatuletea balaa...hivi kwanini asikamatwe afungwe.
vipi ile mikataba 20 ya gesi iliyosainiwa na jk na wachina ndani ya dakika 1 tulipewa masharti gani?
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

Nape aache kubwabwaja vitu visivyo na msingi...
Aweke wazi na sio kumtishia mtu mzima utadhani anajibishana na watoto wenzake...
Misaada wanayochukua CCM na kuipeleka mifukoni kwao mbona hawaweki wazi??
Nape pia atutajie wezi wa ESCROW wote!!!