Nape amvaa Dr. Slaa

Hahaha mkuu umenichekesha sana! Ukikutana na marehemu na wewe utakuwa marehemu!! Back to the topic, mbona nape ameanza kupumua kwa nyuma, shida ni nini? Kama anayajua masharti kwanini asiseme? Toka lini Dr slaa anaushirika na wajinga!?
Jamani wewe mgeni hapa? sasa unataka tujadili vuvuzela? Ukilipuliza lenyewe linalia tuu bila kujua kama ni upuuzi au la maana. Sasa Kinana keshalipuliza vuvuzela nape sasa ni milio tu iwe kwa mbele au kwa nyuma. Halafu mkuu usidhani muziki wa EL unawapa usingizi. Maana akipitishwa nchale, akikatwa nchale!
 
Naamini Nape ana shida kubwa kichwani. Huwa anadhani baba Riz atakuwa rais milele. Kila siku anajitahidi kujitengenezea maadui kadri anavyo weza. Ngoja tuone baada ya October ataishi kwenye pango lipi.
 
Huyu Slaa huyu atatuletea balaa...hivi kwanini asikamatwe afungwe.
Kila siku huwa nakwambia kabla haujajibu thread yoyote isome uielewe ndio ijibu, unaona sasa madhara ya kuandika ukiwa umechuchumaa kwenye choo cha shimo??
 
upumbavu wa kiswahili kwa waswahili....hoja ya Nape hiyo!hatari sana....
 
Juliana Shonza -mpenzi upo mama? Siku nyingi sana. karibu punguza uchungu wa kuzaa mtoto yupo???
 
he deserved to be called v.v.z.l. Nauliza ina maana hajitambui au ndio position yake inaruhusu kupika mchele bila kupembua huku mawe na pumba zikisababisha walaji kumwachia wali wake? He has to think before acting so as to maintain the dignity.
Dr Slaa ni namba ingine kabisa.Hakurupuki.
GOD BLESS TZ,
 
Kaka leo hauko sawa...nadhani usiendelee kujadili hii kitu. Utaaibika bure, maana unaongea uongo wa dhahiri mno...samahani lakini.
 
Naamini Nape ana shida kubwa kichwani. Huwa anadhani baba Riz atakuwa rais milele. Kila siku anajitahidi kujitengenezea maadui kadri anavyo weza. Ngoja tuone baada ya October ataishi kwenye pango lipi.
Serikali itakayoundwa ni ya CCM, na Nape ni Mwenezi wa CCM, sasa ataishije kwenye pango..U how..?
 
Mimi ni CCM lakini huyu Nape huwa mropokaji tu hana lolote, amejaribu kumtikisa Lowassa kwa zawadi ya jimbo la Membe akaishia kutikisika mwenyewe. Ni bora akomae na madomokaya wezake UKAWA.

We we ni fisadi kama Mafisadi wengini kama unawatukana ukawa na kumsifia lowassa basi huna maana unavimelea vya ufisadi kama lowassa alivyo zungukwa na mafisadi kama akina kalamagi, Ntibaijuka etc
 
We we ni fisadi kama Mafisadi wengini kama unawatukana ukawa na kumsifia lowassa basi huna maana unavimelea vya ufisadi kama lowassa alivyo zungukwa na mafisadi kama akina kalamagi, Ntibaijuka etc

Hahahahahaaaa punguza jaziba mkubwa Idd Abed
 
Tatizo Nape mropokaji mno na ashaonywa sana kwenye vikao vya ccm na wajumbe wengi ila habadiliki. Huwezi jua kama haya ni ya kweli au aliwashwa tu kuropoka
 
Mkuu sina jazba nakwambia ukweli kama unajua mfumo mzuri wa siasa basis huwezi kumsifia Lowassa

CCM kaka ni kichaka cha wezi, mtu pekee atakayeweza kuisimamia CCM ni Lowassa pekee upinzani bado sana. Lowassa anachafuliwa kwa chuki binafsi na mimi awamu hii sichagui chama isipokuwa mtu, wewe taja mtu wako hapa tumjadili lakini awe CCM kwani huko ndiko raisi atatoka.
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!
Fisadi saivi ni balozi alieteuliwa na Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…