Lazima tuangalie uwezo wa watu wanaoaminiwa kuongoza nchi.Nape big up, kila mstari ukiongea kesho JF ni thread, upo vizuri sana. BAAASII
Watanzania mnakera kwa kuendekeza kujipendekeza.
Uongo wa Nape uko wapi hapo?
Nape, keep it up. Unatuonyesha kwamba kipindi cha kujipendekeza kwa kutoa kauli tamutamu kwa viongozi kimepitwa.
Kama ni kweli JK si maarufu kuliko CCM basi simamia ukweli huo.
Wanaochukia waambie 'They can go to hell'
Kwa maana nyingine, Makamba anamaanisha kwamba Nape ni mwehu!... na wanaosema hivyo ni wehu wasioitakia mema CCM," alisema Makamba.(Habari leo, Jumanne Agusti 02, 2011 - HabariLeo | Mwacheni Kikwete, ni mtaji – Makamba)
...
Nape unachotaka kutuambia ni kwamba Makamba alipotoka kutuambia kwamba JK ni maarufu kuliko chama?
Nape kasema ukweli uliopo katika kila taasisi ya umma. Mtu mmoja anaweza kuwa maarufu kuliko wengine katika individual capacities zao na ndivyo ilivyo kwa JK na CCM lakini, hakuna mtu mmoja mmoja ambaye ni mkubwa kuliko taasisi anayoiongoza. Nape has stated the obvious.
Makamba aliwahi kusema "CCM hatuwezi kamwe na wala hatuna mpango wa kumtosa katika kinyang'anyiro cha mwakani Rais Kikwete kwa kuwa ni maarufu kuliko hata chama chetu, huwezi kumtosa mtu kama huyu na wanaosema hivyo ni wehu wasioitakia mema CCM," alisema Makamba.(Habari leo, Jumanne Agusti 02, 2011 - HabariLeo | Mwacheni Kikwete, ni mtaji – Makamba)
Nape nimemsikia live ITV akisema tena kwa msisitizo "hakuna mtu aliye maarufu kuliko chama".
Nape unachotaka kutuambia ni kwamba Makamba alipotoka kutuambia kwamba JK ni maarufu kuliko chama?, au umaarufu wake sasa umeshuka kwamba haya yeye akileta mchezo mnamtimua?.
Hapo kwenye red nape panakuhusu kwa kuwa umesema hakuna mtu maarufu kuliko CCM na hukutoa exception. Inawezekana kweli huitakii mema CCM na unajiandaa kuanzisha CCJ mpya CCM ikifa.
Poleni CCM, sisi tuko makini na popcorn zetu tunafuatilia hili movie.
Hiyo rangi ni mpiga vuvuzela au vuvuzela lenyewe ufikirishaji ukoje???Vuvuzela haliitaji kufikiri, linapiga kelele tu. Hata MKiti wake anamdharau.