Nape ampiga kijembe PINDA ........ taifa limejaa mipasho

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
867
219
Kauli ya Nape kutetea watoto wa viongozi kupewa vyeo au kubebwe ni kijembe kwa Pinda yakwamba mbona na yeye kapewa
hapo chini ni alichosema nape kwenye post yenye link kwa chini kabisa
 
nilipania kuchangia hapa lakini nasikitika kusema kwamba nimeshindwa kufanya ivo kwa kuwa nimeshindwa kumuelewa mleta thread....!i'm sorry.
 
Yaani anamaanisha kuwa Nape hakubaliani na kauli ya PINDA kuhusu watoto wa wakubwa (Viongozi a.k.a Vigogo au mafisadi) kugawiwa vyeo.

Ila hapo juu Nape kaongea kimipasho zaidi.
 
Umeanzisha hii thread ukiwa unakimbia mabom Ar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…