meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
kama alivyofanya kwa mukama,kijana huyu ambaye unaweza kumuita 'media darling' anaonekana kushika kasi katika suala zima la usemaji na maamuzi ya ccm.tukumbuke kinana alitajwa sana kwa muda wa kama wiki 2 hivi baada ya uteuzi wake lakini sasa hasikiki tena kama ilivyomtokea mtangulizi wake.
Hii inamaanisha kinana ameshindwa kumdhibiti vuvuzela nape na hivyo kumuweka katika hatari ya kupigwa chini.
Tusubiri tuone!
Hii inamaanisha kinana ameshindwa kumdhibiti vuvuzela nape na hivyo kumuweka katika hatari ya kupigwa chini.
Tusubiri tuone!