nimesoma makala ya Isango tz daima uk 5 nikacheka sana. Amekumbusha jinsi Makamba alimlaani nape na kusema amefungiwa mbinguni na duniani. alisamehewa lini? ccm haina tofauti na ze comedy
Nape hana tofauti na Makamba.MAKAMBA YUPO MAKABURINI ANAMZIKA KAKA YAKE ANAMSIMAMISHA SHEKHE ANAMWAMBIA JAKAYA RAIS WAKE AMEMTUMIA SMS ANAWATAKIA FAMILIA POLE NYINGI,SASA NAPE NI JUHA,JAKAYA NI JUHA,MAKAMBA NI KALULU