JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
unaongelea yule jamaa mwenye mouth diarrhea au?
Nape gani tena jamani, huyu huyu mkuu wa wilaya ya Masasi?
We Arafat unaweza kujilinganisha na Nape? ni Ukweli usiopingika kijana ni mchapa kazi na uchungu na nchi hii. Usisahau yeye kama Katibu Mwenezi wa Chama Tawala ndiye mwenye Ilani na ndiye msimamizi wa yale aliyowaahidi kwa wananchi. Wewe ulitaka ukuta udondoke ndo aende kutoa pole kwa walioangukiwa na ukuta? Kumbuka vijana wa Chuo ndio waliomsimamisha Nape na kumuomba aende kuona hali yao ilivyo kule mabwenini. Jambo usilolijua usilisemee si lazima kila kitu uandike, andika vile unavyovijua.
Lazima atakuwa anatafuta vijana ili wajiunge na JF tayari kwa kupambana na wapenda nchi yao............... KUMBUKENI JF ILITAJWA KAMA ADUI WA CHAMA CHA MAGAMBA.............. HIVYO KWAO JF NI GAMBA LA CCM KAMA ILIVYO CDM............. ANAHAMSISHA WANACHUO WENGI WAJIUNGE NA JF ILI TUSHAMBULIANE...........Lakini anasahau kuwa ukweli utabaki kuwa ukweli bila kujali idfadi ya waongo. HATA AKIKUSANYA WANAFUNZI WA VYUO VYOTE WAJIUNGE NA JF ....haitabadili ukweli kuwaJamani ndugu zangu wanajf naombeni tuwe makini na tuache unafiki. Nape Nnauye amefika chuo kikuu cha Dodoma (Udom) majira ya saa 5 asubuhi. Hivi Nape alikuja kufanya nini Udom na alitumwa na nani kwani amekuja na kuingia bwenini na ndani ya baadhi ya vyumba na kudai kuwa anakagua nyufa ndani vyumba na kukagua maeneo machafu ndani ya chuo. Hivi Nape ni injinia wa Udom? Au Nape ni bwana afya wa Udom? Au Nape ndiye msemaji wa wanachuo kwa rais wa nchi? Tunaomba Nape atueleze vizuri alichoijia Udom kwani hatujajua alichokuja kufanya. Mimi ni mwanafunzi wa Udom na ninavyokijua Udom na viongozi wa Udom siyo rahisi kumruhusu mwanasiasa kuingia ndani ya chuo bila wanafunzi kujulishwa juu ya ujio wake na lengo lake. Mbaya zaidi Nape ameruhusiwa kuingia hadi ndani ya vyumba vya wanafunzi. Hata Lema hakuwahutubia wanafunzi ndani eneo la chuo. Tunaomba ufafanuzi!
kaingia pia kwenye vyumba vya wakristo?