Huyu Nape hana cha kufanya...Mara aende akague nyufa UDOM...Mara aende kupanda nyasi Mpanda....
Tanzania Daima hana cha kusema, alipokwenda Mwananchi ndio alisema Mengi kuhusu Gamba, Mwezi Ujao Mkutano wa NEC n.kUngetumege basi yaliyojiri katika hayo mazungumzo yao mkuu tukawa na uwanja mpana wa kuchangia.
Ungetumege basi yaliyojiri katika hayo mazungumzo yao mkuu tukawa na uwanja mpana wa kuchangia.
NNAPE hata ukitembelea magazeti yote TZ hautaweza kuwazuia kuanika uozo wa CCM, kikubwa gamba hili.
- Saafi sana Nape anaonyesha kuheshimu upande wa pili pia, ndio modern politics hizo, so yupo 100% right on the track!Willie @ NYC, USA.
- Saafi sana Nape anaonyesha kuheshimu upande wa pili pia, ndio modern politics hizo, so yupo 100% right on the track!
Willie @ NYC, USA.
Mbona huyo Irene Mark kajikwatua sana? Anataka kumtega au... lol