Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Kinana hajamzungumzia Msigwa,hasimu wake wa masuala ya UJANGILI???NA ILE MELI???
Hiyo note yako ni uongo mtupu. Chadema ni chama cha siasa. Acheni kumkosea adabu Mungu ebo!
Hiyo note yako ni uongo mtupu. Chadema ni chama cha siasa. Acheni kumkosea adabu Mungu ebo!
...
....ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!
ahaaaaaaaaaaaaaaaa salome!Msigwa Ukimtajia Jina la Nyalandu anaishia kukenua kenua! anatoa 3M kulipia Press Conference ya kumsifia Nyalandu wakati chama chake Mkoani hakina walau Printer ya laki 3!
...
....ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!
Wanachama wake wanaamini na kumtegemea Mungu hivyo Mungu hapo Chadema lazima awepo tu .
Mungu gani huyo kwenye Masanduku ya kura kila Uchaguzi kura hazitoshi, Mungu gani anaedai kuibiwa kura baada ya kushindwa " kuzilinda" aliepa kuandamana mpaka Bunge liahirishwe lakini akashindwa, Acheni kufananisha washerati wa akina Mukya na jina la Muumba wako na wangu
hata CCM wapo pia. Nadhani tusifanye siasa na Mungu. Huko ni kumkosea adabu kwa nafasi yake. CHADEMA na vyama vingine yawezekana kuna wachamungu wala sina tatizo na hili. Ila kukifanya chama cha siasa ni representative wa Mungu au Mungu.mwenyewe ni utovu wa nidhamu na ni dhambi!Wanachama wake wanaamini na kumtegemea Mungu hivyo Mungu hapo Chadema lazima awepo tu .
Huyo mungu wa chadema ni mungu gani failure wa kila jambo?
hata CCM wapo pia. Nadhani tusifanye siasa na Mungu. Huko ni kumkosea adabu kwa nafasi yake. CHADEMA na vyama vingine yawezekana kuna wachamungu wala sina tatizo na hili. Ila kukifanya chama cha siasa ni representative wa Mungu au Mungu.mwenyewe ni utovu wa nidhamu na ni dhambi!
......Anakuja kukukombowa wewe huko utumwani !!!