Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Hawa jamaa wakiwa na nafasi serikalini hawaoni matatizo ya wapiga kura wanapokuwa nje ya serikali ndipo wanatambua matatizo ya wapiga kura. Nape mwanasiasa mzuri hawi kama kinyongaMbunge wa Mtama Nape Nnauye amesema Serikali inapaswa kujifunza kutokana na suala la korosho lilivyoenda.
Amesema pia Serikali inatoa takwimu kuhusu malipo ambayo haziendani na ukweli na kushauri iache kuzitoa.
Ameelezea jimboni kwake hali ya malipo ni mbaya japo Serikali inasema inawalipa vizuri.
Pia amesema zoezi la uhakiki limeanza kutumika kama kichaka cha kutumika kuchelewesha malipo na baadae inapotelea hewani.
Sent using Jamii Forums mobile app