Nape ailipua CHADEMA


maneno ya t.o.t plus hayawezi kuwatisha weusiiiiiiiii.........kesho lazima kinuke kama mbwai mbwai tu.
 

sioni mantiki ya post hii.hakuna ukombozi bila gharama
 

HIKI KIRUSI CHA MAANDAMANO KIMESAMBAA NCHI NZIMA HAKUNA AUNT VIRUS YA KUWEZA KU I SCAN HASIRA YA NGUVU YA UMMA....B..Oy@ wewe. Kalisha CHUNGU CHAKO.
 
Nani anaemsikiliza huyo kilaza lei hii? Kijana lkn kazeeka zaidi ya naniliii
 
maneno ya t.o.t plus hayawezi kuwatisha weusiiiiiiiii.........kesho lazima kinuke kama mbwai mbwai tu.

Umejificha nyuma ya keyboard, ingia mtaani na wajukuu wa Mtei ukione.
 



People's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Alutta continua! continua!
 
Nice political counteract and argument from Nape
 

mbweche yako imeacha kunuka panya!!?
 
Hapo penye rangi anaonyesha akili yake ilivyo finyu, bila katiba ya kweli ya vyama viwili ambayo itahakikisha kuwepo kwa Tume huru ya uchaguzi ambayo haitaingiliwa kazi zake na yeyote yule, ambayo itahakikisha chaguzi zetu zinakuwa huru na za haki anadhani hizo kura zinazochakachuliwa kwa kutumia vyombo vya dola na kitengo cha MAFISIEM wenyewe wanakiita Tume ya uchaguzi zitakahakikisha kuna chama chochote kile kinashika madaraka nchini badala ya MAFISIEM? Hebu atuondolee ujinga wake hapa. Katiba ndiyo kila kitu katika kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki utakaosimamiwa na Tume huru siyi hii Tume ya MAFISIEM ya Uchaguzi.

 
nape umepagawa na msomali wako kinana maandamano kamq kawa tunaona duniani maandamano yanavyofanyika acha propaganda ushashiba wewe.
 
Umejificha nyuma ya keyboard, ingia mtaani na wajukuu wa Mtei ukione.

We kikongwe tulia ulee wajukuu nyumbani tuache Wanaume tufanye ukombozi mpyaaaaaaa..........PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Wajinga waliwao, hata wakati wa kudai uhuru, watu kama Nape walikuwepo na wao walikua wanasema wakati akina Nyerere na wenzake wana pigania uhuru na kuuwawa, walikua wanaunga mkono wakoroni. Nakusema Tanganyika bila wakoroni haiwezekani. Naleo wapo hawa watu wanao nufaika na huu mfumo wa ccm, na wanaonaTanzania bila ccm haiwezekani. Mbona inawezekana! KANU ya Moi iko wapi? ZAPU ya Kaunda iko wapi? MCP ya Kamuzu Banda wa Malawi iko wapi? We need to change people. Ccm wanafikiri Tanzania ni shamba la bibi. Wanarubuni wananchi na kuwa wapa hofu bure, ila wanajua umoja wa upinzani ni nguvu. Ili kuendelea kupata ulaji kazi yao ni kusambaratisha upinzani. Watanzania amkeni, wenzetu wanapiga hatua sie bado tume dumaa na chama cha kijani. Wake up!
 

Heee umeshamwagwa tena nini maana tuliambiwa umepata bwana wa kukusitiri na ugumu wa maisha ulioletwa na CCM.Maana hukuonekana au ulikuwa likizo ya uzazi?
 
Hamkumuona mke wa dr slaa alivyovuja damu baada ya kipigo cha policcm arusha?nape apeleke maneno yake ya kanga kwa wambea wenzake,jitu zima linaropoka 2!kwanza 2mechoka na hawa jamaa mpaka tembo wameandamana kuwapinga yeye na yule msomali!
Hapa 2nazungumzia bmk na pesa za wananchi
 

Hivi huyu Nape kamshamjua baba yake nani?Namshauri
akamtafute baba yake kwanza ni kitu muhimu kumjua mzazi wako hata kama hakusaidii amkamtafute tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…