Napatwa na kichefuchefu nikikutana na mwanamke aliejichubua

Wanaume wengi waongo kweli,,hao wanawake wanaojichubua na wavaa mawigi wanaolewa na wengi tu wapo kwenye mahusiano,na wanaume wanawapenda tu kama kawaida,,ukienda sehemu za starehe wamekaa nao kabisa ,,wanaume wanafiki kweli
Kabisa! Wanafiki sana! Tena mara nyingi unakuta anamuacha mke ndani mama mstaharabu kabisa, yeye anakwenda kuchukua mchepuko/kimada kajichubua, full mawigi, hips za kichina etc...ana anampangia nyumba au kumjengea kabisa...alafu leo wanakuja na kichefuchefu hiki! Smh!
 
Wanafiki balaa
 
Hawa watu bwana na kama mtu hakufai si unamuachia mwengine

Wanasema jalala lako rizki ya mwenzio...

Mwanaume anakwambia sipendi ufanye hivi ,kesho unamkuta yuko na anayefanya alokukataza
 
Hawa watu bwana na kama mtu hakufai si unamuachia mwengine

Wanasema jalala lako rizki ya mwenzio...

Mwanaume anakwambia sipendi ufanye hivi ,kesho unamkuta yuko na anayefanya alokukataza
Kweli, binafsi si condone tabia ya kujichubua hasa ikizungumziwa kiafya... lakini unafiki wa wanaume ni wa kiwango chake aisee... nyumbani mke na watoto wake wa kike anawabana kama wako jela wakitoka nje wajifunike gubigubi kama wako iceland lakini yeye barabarani macho kayakodoa kodo huku udenda ukimtoka...
 
Tapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !

Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,

Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
Wanawake Waliojichubua Ni Malay* Una Rangi Yako Nyeusi Tena Nzuri Unajichubua Ili Iweje? Kama Sio Kutafuta Mabwana Kinguvu Jinsi Ulivyo Utapendwa Tu Acheni Tamaa. Unajichubua Shingo Jeusi Uso Mwekundu Magoti Meusi Mikono Rangi Nyekundu Khaaa! Ladha Yote Kwisha
 
Tapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !

Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,

Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
Mi naweza hata kutapika nikimuona aliyejichubua
 
Salaam,

Yani mwenzenu nikikutana na wadada/wanawake waliojichubua/wanaojichubua napatwa na kichefuchefu kabisa.

Nikiona ile ngozi jinsi ilivyo na makunyanzi, nyekundu ka nguruwe au yale mabaka yanayotoka baada ya mkorogo kugonga mwamba yani nafeel kichefu chefu mbaya.

Mwanamke anaejichubua na kuvaa mawigi wigi namwona kinyaa sana.

Halafu mjue mwanamke anaejichubua anasababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu ya ile kemikali iliyoharibu ngozi yake.

Ni kichefu chefu haswa hawa wanawake wanaojichubua.
afd1d0207930c194a8e01abf2b1fd3e0.jpg
Naweza hata kutapika
 
Afadhali we ukikutana na mwanamke aliyejichubua unapata kichefuchefu......mi nikikutana na mwanaume anayejichubua natapika kabisaa...mbaya zaidi naweza kuzimia........mwanaume kujichubua ndo kasheshe zaidi , hiyo hela ya mkorogo si ule bia tu, kama bia haipandi nunua hata pamba kali....vita ya ubaguzi wa rangi haiwezi kuisha coz kujichubua ni sawa na KUJIBAGUA
 
Tapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !

Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,

Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
hahahaha aiseee...

kwani wewe ni mmoja wapo maana naona umechamba kwa hisia kali sana tehe!
 
Back
Top Bottom