Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,316
- 50,221
wanatia kinyaa sanaMimi kuna harufu Fulani hivi wanayo.
Wanuka asee
wanatia kinyaa sanaMimi kuna harufu Fulani hivi wanayo.
Wanuka asee
Mpaka wanajionaga aibu mbele za watuwanatia kinyaa sana
Ukidunda anajitia mjuaji wa kuvaa ushungi na nguo ndefu usiombe ukutane nae msibani na awe analia ya ukweli aiseeee km nyama nyekunduMpaka wanajionaga aibu mbele za watu
hiyo ya ushungi. Lemba kubwaaa utafikiri Mcha MUNGU kweli.Ukidunda anajitia mjuaji wa kuvaa ushungi na nguo ndefu usiombe ukutane nae msibani na awe analia ya ukweli aiseeee km nyama nyekundu
Kabisa! Wanafiki sana! Tena mara nyingi unakuta anamuacha mke ndani mama mstaharabu kabisa, yeye anakwenda kuchukua mchepuko/kimada kajichubua, full mawigi, hips za kichina etc...ana anampangia nyumba au kumjengea kabisa...alafu leo wanakuja na kichefuchefu hiki! Smh!Wanaume wengi waongo kweli,,hao wanawake wanaojichubua na wavaa mawigi wanaolewa na wengi tu wapo kwenye mahusiano,na wanaume wanawapenda tu kama kawaida,,ukienda sehemu za starehe wamekaa nao kabisa ,,wanaume wanafiki kweli
Wee pita kule jf photo utakuta picha yangu ama angalia avatarMkuu nitumie picha yako PM,
Wanafiki balaaKabisa! Wanafiki sana! Tena mara nyingi unakuta anamuacha mke ndani mama mstaharabu kabisa, yeye anakwenda kuchukua mchepuko/kimada kajichubua, full mawigi, hips za kichina etc...ana anampangia nyumba au kumjengea kabisa...alafu leo wanakuja na kichefuchefu hiki! Smh!
Hawa watu bwana na kama mtu hakufai si unamuachia mwengineKabisa! Wanafiki sana! Tena mara nyingi unakuta anamuacha mke ndani mama mstaharabu kabisa, yeye anakwenda kuchukua mchepuko/kimada kajichubua, full mawigi, hips za kichina etc...ana anampangia nyumba au kumjengea kabisa...alafu leo wanakuja na kichefuchefu hiki! Smh!
Kweli, binafsi si condone tabia ya kujichubua hasa ikizungumziwa kiafya... lakini unafiki wa wanaume ni wa kiwango chake aisee... nyumbani mke na watoto wake wa kike anawabana kama wako jela wakitoka nje wajifunike gubigubi kama wako iceland lakini yeye barabarani macho kayakodoa kodo huku udenda ukimtoka...Hawa watu bwana na kama mtu hakufai si unamuachia mwengine
Wanasema jalala lako rizki ya mwenzio...
Mwanaume anakwambia sipendi ufanye hivi ,kesho unamkuta yuko na anayefanya alokukataza
Wanawake Waliojichubua Ni Malay* Una Rangi Yako Nyeusi Tena Nzuri Unajichubua Ili Iweje? Kama Sio Kutafuta Mabwana Kinguvu Jinsi Ulivyo Utapendwa Tu Acheni Tamaa. Unajichubua Shingo Jeusi Uso Mwekundu Magoti Meusi Mikono Rangi Nyekundu Khaaa! Ladha Yote KwishaTapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !
Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,
Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
wewe utakuwa ni muhanga wanatisha sana aisee....... namshukuru mungu nipo neaturalTapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !
Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,
Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
Mi naweza hata kutapika nikimuona aliyejichubuaTapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !
Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,
Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo
Naweza hata kutapikaSalaam,
Yani mwenzenu nikikutana na wadada/wanawake waliojichubua/wanaojichubua napatwa na kichefuchefu kabisa.
Nikiona ile ngozi jinsi ilivyo na makunyanzi, nyekundu ka nguruwe au yale mabaka yanayotoka baada ya mkorogo kugonga mwamba yani nafeel kichefu chefu mbaya.
Mwanamke anaejichubua na kuvaa mawigi wigi namwona kinyaa sana.
Halafu mjue mwanamke anaejichubua anasababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu ya ile kemikali iliyoharibu ngozi yake.
Ni kichefu chefu haswa hawa wanawake wanaojichubua.
hahahaha aiseee...Tapika au lamba ndimu babu wee
Ngozi yake mwenyewe inahusu !
Mwanaume una hashuo macho juu juu kama kunguru wa pwani,
Ukitembea tizama njia ya binadamu waachie wenyewe,
Ngozi yake rangi yake ,kichefuchefu ukipate weye....haloooo